Kabisa mkuu umeongea ukweli mtupu,Hasheem asingetoa BOKO angelinufaisha sana taifa,watu wakimsema vibaya hasheem wanakuchukulia ni hater wakati ni muhimu kuambiana ukweli ili ambao wapo kwenye peak wasicheze,ni kweli 255 Mbwana samatha anatupaisha sana sisi waTZ na tunafurahia na tumeona somo kwa mbwana hafanyi UJINGA tena wa Hasheem,hata akija bongo ni kimya kimya na akija kuiwakilisha Taifa star akishamaliza mechi huyo usiku usiku anachukua pipa anarudi KAZINI,hataki mchezo na KAZI.
Wabongo sisi ni wanafiki,hasheem kasanda, tumwambie ukweli tu,2009-2010 alikuwa kwenye peak sana na alikuwa anaingiza mkwanja mrefu hatari,sifa zilimponza,liwe funzo kwa watu wengine katika level zote,ukipata chance usiichezee....Hasheeem hawezi kurudi tena hata awange usiku kucha kashapoteza...umri nao unamtupa.