Tetesi: Ndugu yetu Hasheem Thabeet anarejea NBA

Tetesi: Ndugu yetu Hasheem Thabeet anarejea NBA

Hasheem ni kama jamaa fulani somebody Nditi ( alikuwa Chelsea ) ana vijitabia fulani vya kiswahili, basi kazi yake ikawa ni kuvimba tu, kujiona ushamaliza.

Ubitozi na Starehe huku ukiendekeza ustar njaa ukirudi bongo. Ukipigwa chini ndio basi tena
hivi nditi aliishia wapi ?
 
Pumbavu wewe!

Kati ya wachezaji 450 wanaocheza NBA karibia half ni scrubs pumbavu wewe!

Hasheem Thabeet ni bust na ni bum na ni scrub!

Sio eti ukiwa kwenye NBA wewe ni una kiwango mwehu wewe!HT ni kwa ajili ya rebound full stop,na zenyewe ni za kiwango duni mno ambapo guard mfupi kabisa kama Isaia Thomas anazo nyingi zaidi yake mara 2!

Infact ni kwa ajili ya height na kurusha mikono kuleta obstructions na deflections za offenses zinazokuja na wala sio actual basketball skills!

He is a bonafide scrub tena kwa number 2 pick!

Full of shit!
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒwyatt katika ubora wake
 
Tz tunaombeana kufail zaidi badala ya kutiana moyo,Samatta anashangiliwa saizi ila akifail utasikia maneno
naam ndio ulimwengu ulivyo hivyo.... inshort ukifanikiwa unakuwa umejichongea kwa watu ..kwa sababu watu watataka kuona ukifanya vyema zaidi ya pale nasio kurudi nyuma
 
Stop being a sissy!

Unaleta uzi unaogopa mabishano,fvck outta here!

Hivi unapobishania Pogba anavyocheza vibaya,hivi wewe unaweza cheza mpira kama yeye?

Kwanini unalalamika na kubishana kuhusu hilo au other stars?

Sababu ni kwamba you are fan nigga!Sio eti unajua kucheza kama yeye!

You are such a worldwide pussy giver!

Im an NBA fan foโ€™real na sio eti najua kucheza professionally kama wao,ila ubishani ni haki ya fans you dummy!

Huyo kibuyu mwenzio hana 10-days hapo lazima awe cut kama mara zingine zote alizojaribu motherfvcker!

Hakuna kitu mle,lia garagaza,hamna kitu....Mkisikia hivyo mnaharisha na ni fact!

Ameshajaribu zaidi ya mara 10,kawa cut...sasa hivi kazeeka mno then atawezea chooni??

Fvck you very much!
Kweli aisee jamaa karudi kucheza bongo
 
Ataonekana tena akichezea Milwaukee Bucks ndugu yetu bado anaendelea kupambana na wachambuzi wanasema yupo kwenye good shape ya kuweza kumudu mikiki mikiki ya NBA.

Wabongo tuache unafiki wa kumbeza ndugu yetu huu mchezo alijifunzia ukubwani hatua hii aliyofikia sio ya kubeza hata kidogo na wachache sana wangeweza kufikia hapo alipofikia yeye

All the best Mtanzania mwenzetu. Uzalendo kwanza !

Mkuu kalagabaho salam. Hebu tuwekee source ya hii habari
 
Ataonekana tena akichezea Milwaukee Bucks ndugu yetu bado anaendelea kupambana na wachambuzi wanasema yupo kwenye good shape ya kuweza kumudu mikiki mikiki ya NBA.

Wabongo tuache unafiki wa kumbeza ndugu yetu huu mchezo alijifunzia ukubwani hatua hii aliyofikia sio ya kubeza hata kidogo na wachache sana wangeweza kufikia hapo alipofikia yeye

All the best Mtanzania mwenzetu. Uzalendo kwanza !
Hata ambaruti ni ndugu yetu
 
Back
Top Bottom