hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
๐๐๐We mbona hujaendekeza mapenzi unachezea timu gani hapo NBA?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐We mbona hujaendekeza mapenzi unachezea timu gani hapo NBA?
hivi nditi aliishia wapi ?Hasheem ni kama jamaa fulani somebody Nditi ( alikuwa Chelsea ) ana vijitabia fulani vya kiswahili, basi kazi yake ikawa ni kuvimba tu, kujiona ushamaliza.
Ubitozi na Starehe huku ukiendekeza ustar njaa ukirudi bongo. Ukipigwa chini ndio basi tena
๐๐๐๐๐๐๐๐๐Umeambiwa Samatta hatombani?
imagine urefu ule atakuwa na dick kubwa kiasi gani then fikiria tena na papuchi ya jokate itakuwa kubwa kiasi gani...lolAhaaaa ,sawa
๐๐๐bongo raia wengi ni wachawi ila tu ..hatujijuiMtu kapambana kivyake huko leo watu wanataka awe muwakilishi wa Taifa
๐๐๐wyatt katika ubora wakePumbavu wewe!
Kati ya wachezaji 450 wanaocheza NBA karibia half ni scrubs pumbavu wewe!
Hasheem Thabeet ni bust na ni bum na ni scrub!
Sio eti ukiwa kwenye NBA wewe ni una kiwango mwehu wewe!HT ni kwa ajili ya rebound full stop,na zenyewe ni za kiwango duni mno ambapo guard mfupi kabisa kama Isaia Thomas anazo nyingi zaidi yake mara 2!
Infact ni kwa ajili ya height na kurusha mikono kuleta obstructions na deflections za offenses zinazokuja na wala sio actual basketball skills!
He is a bonafide scrub tena kwa number 2 pick!
Full of shit!
Tz tunaombeana kufail zaidi badala ya kutiana moyo,Samatta anashangiliwa saizi ila akifail utasikia maneno๐๐๐bongo raia wengi ni wachawi ila tu ..hatujijui
Huyo stephen curry ni basketballer genius ...acha kumfananisha na vitu vya kijinga aise
Yule jamaa kashindikana.... ni kama mzimu vile...binafsi kwangu sijawahi kuona mchezaji wa kiwango chakeAisee Stephen curry ni balaa,ana skills nyingi sana sijawahi kuona mchezaji anayetumia akili na skills kama Stephen Curry
Sent using Jamii Forums mobile app
naam ndio ulimwengu ulivyo hivyo.... inshort ukifanikiwa unakuwa umejichongea kwa watu ..kwa sababu watu watataka kuona ukifanya vyema zaidi ya pale nasio kurudi nyumaTz tunaombeana kufail zaidi badala ya kutiana moyo,Samatta anashangiliwa saizi ila akifail utasikia maneno
I support that !Aisee Stephen curry ni balaa,ana skills nyingi sana sijawahi kuona mchezaji anayetumia akili na skills kama Stephen Curry
Sent using Jamii Forums mobile app
Rasmi sasa karudi like ligi ya bongo, yupo SavioAna hekalu lake alianza kujenga hpo migambani beach bagamoyo.... Ila hajamalziaaa
150 meter kutoka baharini hiyo frame za milango Sasa ilivyoenda juu hatari
Kiwanja eka 2 au 3 kile, ila akimaliza Ile project itakuwa bonge la nyumba
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli aisee jamaa karudi kucheza bongoStop being a sissy!
Unaleta uzi unaogopa mabishano,fvck outta here!
Hivi unapobishania Pogba anavyocheza vibaya,hivi wewe unaweza cheza mpira kama yeye?
Kwanini unalalamika na kubishana kuhusu hilo au other stars?
Sababu ni kwamba you are fan nigga!Sio eti unajua kucheza kama yeye!
You are such a worldwide pussy giver!
Im an NBA fan foโreal na sio eti najua kucheza professionally kama wao,ila ubishani ni haki ya fans you dummy!
Huyo kibuyu mwenzio hana 10-days hapo lazima awe cut kama mara zingine zote alizojaribu motherfvcker!
Hakuna kitu mle,lia garagaza,hamna kitu....Mkisikia hivyo mnaharisha na ni fact!
Ameshajaribu zaidi ya mara 10,kawa cut...sasa hivi kazeeka mno then atawezea chooni??
Fvck you very much!
Rasmi sasa karudi like ligi ya bongo, yupo Savio
Yah nlisikiaga muda sana dahRasmi sasa karudi like ligi ya bongo, yupo Savio
Ataonekana tena akichezea Milwaukee Bucks ndugu yetu bado anaendelea kupambana na wachambuzi wanasema yupo kwenye good shape ya kuweza kumudu mikiki mikiki ya NBA.
Wabongo tuache unafiki wa kumbeza ndugu yetu huu mchezo alijifunzia ukubwani hatua hii aliyofikia sio ya kubeza hata kidogo na wachache sana wangeweza kufikia hapo alipofikia yeye
All the best Mtanzania mwenzetu. Uzalendo kwanza !
Hata ambaruti ni ndugu yetuAtaonekana tena akichezea Milwaukee Bucks ndugu yetu bado anaendelea kupambana na wachambuzi wanasema yupo kwenye good shape ya kuweza kumudu mikiki mikiki ya NBA.
Wabongo tuache unafiki wa kumbeza ndugu yetu huu mchezo alijifunzia ukubwani hatua hii aliyofikia sio ya kubeza hata kidogo na wachache sana wangeweza kufikia hapo alipofikia yeye
All the best Mtanzania mwenzetu. Uzalendo kwanza !
Hata ambaruti ni ndugu yetuAtaonekana tena akichezea Milwaukee Bucks ndugu yetu bado anaendelea kupambana na wachambuzi wanasema yupo kwenye good shape ya kuweza kumudu mikiki mikiki ya NBA.
Wabongo tuache unafiki wa kumbeza ndugu yetu huu mchezo alijifunzia ukubwani hatua hii aliyofikia sio ya kubeza hata kidogo na wachache sana wangeweza kufikia hapo alipofikia yeye
All the best Mtanzania mwenzetu. Uzalendo kwanza !