Uchaguzi 2020 Ndugu yetu Tundu Lissu, KUBALI matokeo na ujipange safari ijayo

Ukiona mtu anaongea na tumelikuwa tumekuwa, tuna, huwa mara nyingi ni mnafiki.. Hoja utoe wewe, ghafla uongelee wengine..? /?!
 
Ni kweli hii ndiyo Afrika na tuko Afrika. Lkn watu kama Tundu Lisu wako Afrika bahati mbaya tu. Uwezo wa kufikiri na misimamo yao siyo ya kiafrika.
 
kuna kura zilishapigwa before na wao ilikuwa ni kuzichanganya na zinazopigwa siku ile, ukisema kithibitisho unamaanisha unataka nini?
Thibitisha....wananchi hawajakubali madini yao kuwekwa rehani ndio kisa cha kumpigia kura za upendo na wivu mkubwa Rais Magufuli.

Hongera CCM

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Ni kweli hii ndiyo Afrika na tuko Afrika. Lkn watu kama Tundu Lisu wako Afrika bahati mbaya tu. Uwezo wa kufikiri na misimamo yao siyo ya kiafrika.
Enhe wenje kafanywaje huko,embu nusanusa tujue,nasikiasikia fununu ambazo sionzuri kwake?
 
Angalia hii fupi tu ya kawe


Kawe:
Waliojiandikisha 412,180
Waliopiga kura 233,518
Kura Halali ni 231,186
Kura zilizoharibika 1653

Matokeo:
Ubunge:

UDP - 72
UMD-51
UPDP-44
TLP-67
SAU-53
NLP-43
NCCR-279
DEMOKRASIA MAKINI -39
DP-60
CUF-461
CHAUMA-426
CCK-1422
ACT-585
AFR-374
CHADEMA-32,524
CCM-194,833

Tupige hesabu vzur sasa..

Tukijumlisha hizo idadi ya kura za hao wabunge unapata jumla 231,333. Kwenye takwimu hii figure haipo

Tukichukua kura zilizoharibika tukijumlisha kura halali si tunatakiwa tupate jumla ya kura zote zilizopigwa mbona figure inakuja tofauti?

i.e

233,186 +1,653= 234,839
Hii figure pia haipo kwenye takwimu,au mie nakosea sehem ndugu zangu embu nisaidieni basi

Bado kura za alizopata raisi kwa kawe ni zaidi ya idadi ya waliopiga kura KAWE
 
Maoni yangu chadema wasikubali haya matokeo.. wasiende kwenye maandamano maana wananchi bado hawana ujasiri huo..

Wajipange namna ya kupambana nje ya uwanja.

Watumie zaidi mataifa ya nje kushinikiza uchaguzi kurudiwa.

Marekeni amesha sema uchaguzi ulikua sio huru.
 
Watawala ndio wamekutuma uje kutu-test?!
Kawaambie hivi uchaguzi huu wameiba kishamba sana hata wana ccm tulionao huku mtaani hawajapenda!!!.
Hayo maoni yako Ila ukweli unaujua, kazi kubwa chadema sahivi inaposti propaganda ili kupata sympathy ya wazungu. Na ndo maana tunabadil maamuzi kuchagua watu na viongozi wanaotupa sera za kueleweka.
 
Hapo kwenye uchaguzi wa haki bora usipaongelee maana huku mtaani kuna wasimamizi wanaongea kila kitu, wanasema jinsi walivyolazimishwa kupenyeza kura feki
[emoji23] wamekuonesha IDs zao kuwa ni wasimamizi? Pia unajua wale wanaoongelea Sana kuwa wameonewa ndo hao wa kwanza kufanya udanganyifu. Yale mabegi yote yalikua ya chadema kuimplant uvunjifu wa amani na kumaster mind one thing " kukataa matokeo" you all know that.
 
Wewe ndio unajiita mwana Chadema?![emoji44]
Muwe mnafuta na posts zenu za nyuma basi msijiabishe. [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1616013
Nifute kwaajili gani?, I do support JPM kwani naona na napenda what he has done with this country. If is was up to me ningemwongezea hata 20yrs Kama Mungu angempa uzima. That's my opinions sikuzuii kutoa zako kwani hii ni nchi huru.
 
Ushindi ni wa ccm, kwann usiwapongeze tu na kuongelea Tz mpya ya kijani itakavyokuwa bila kasoro za kupingwa na wapinzani?
 

Ukweli mtupu 💪
 
Aisee una roho ngumu.Hivi Lissu ndo wa kumpa ushauri huu?
 
NAONA unatetea majambazi ya ccm.
Lisu no mshindi na chadema ni washindi.
Mkitoa kura feki CCM hambaki na KITU
Kama mnaweza rudieni uchaguzi bila kura feki
 
Na mguu ule ambao haukunjiki utarudishwa kwenye hali yake ya awali kama Mungu alivyomuumba?
 
Ushindi ni wa ccm, kwann usiwapongeze tu na kuongelea Tz mpya ya kijani itakavyokuwa bila kasoro za kupingwa na wapinzani?
Mwisho wa siku inabidi tujifunze from all we do, chama kinajisahau na kuwana plan za kizembe. Huwezi build up a strong house without a stronger foundation. Chama kimefocus kwa Rais instead kingejipa muda na kufocus Sana huku chini madiwani na wabunge kubuild up a very strong base ya kuja kupenya nayo. Mwisho wa siku wanasusiana na kusahau the foundation ya Kila kitu. So inabidi kujifunza kwani serikali sio presidential office tu bali MPs ndo mwanzo wa Kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…