Ndugu yetu yupo kwenye mtego nchi moja ya hapo Ulaya, tunamtoaje?

Atibu magonjwa plus kutibu mbususu ni sehemu ya utabibu.
 
Ujinga wa kwako kwa kuamini kuwa storii lazima iwe kila kitu' Kama ilivyo andikwa! Tukio linaweza tokea London au German Ila kupiga chenga wasee wa ku trace na kuunga dot unataja Eneo unalo lifahamu Ila Ni ndani ya ulaya hiyo hiyo! Angalia kichwa Cha Habari kime base ulaya Sana Ulaya. ....code zimewekwa tu lengo lenu Ni kumjua Ni Nan Dokta Charles! Ujue tu Hakuna mtu ataleta stori ya uhalisia hapa alafu aanike kila kitu' ili kiwe wazi kiasi kuwa traced Ni Mara moja! 2mia Akili!!
 
Wewe Huwezi kusema uwongo' bila kujua huku bongo mtu alienda huko akiwa na Elimu gani' amekaa huko zaidi ya miaka miwili! Hivyo kudhani Ni uwongo Ni sawa! Kwa uelewa wako unajua watu Wana uelewa tofauti ' ukiwa unaishi kwa budget ya Elfu 50000 kwa siku' na inakutosha' ukiambiwa Kuna mtu Anaishi kwa budget ya laki 5 kwa siku' na haimtoshi
Unaweza kataa mpaka na kupigana ngumi kuwa Haiwezekani mtu atumie budget ya laki 5 kwa siku' Ni uwongo
Ila Tambua watu wako viwango tofauti usilazimishe kila mtu awe level yako!
 
Hizi ni hekaya..ila kwanini asiende polisi
 
No my brother wewe ndo huna unalolijua ndo maana umekurupuka huko kuja kusema ni uongo[emoji23][emoji23] tupunguze ujuaji…U much know kwenye kila kitu mwisho siku utaonekana mpumbavu kwenye kundi la wajinga
🙌 Aisee Kuna watu wanajidai much know Sana yaani ! Yaani wanatamani utaje kila kitu' mpaka nyumba ili wafuatilie!
Hamna kitu' Hawa nadhan Ni Wale walio ishi ulaya ya zamani wakati wanasoma labda'
 
Hizi ni hekaya..ila kwanini asiende polisi
Kama ukitulia ukasoma hii stori vizuri ukaona ' na majibu ya comment unaweza gundua huenda hawamtaki aishi hapo Ila wanamtafutia line tu!
Pia mke wa afisa polisi unapeleka polisi wewe mweusi Nan anakujua?
 
Kwahiyo hii sio hekaya?
Someni comments zangu' someni stori nyie mnathani labda Dokta Charles anapendwa kweli na wanawake wawili double sehemu moja?
Stori imefupishwa Ila ujue jamaa huenda hawamtaki Hapo' Huyo black
Kwann yeye hajibu Hizo jumbe? Hataki ushaidi labda wanataka kumtimua hapo
Akili za wazungu unazijua we?
Mzungu anafunga ndoa na ww leo kwa furaha na bashasha Ila lengo lake after miaka Kama 5 hivi mtaachana na akukombe kila kitu'!
Nenda kasome stori ya mcheza mpira
Emmanuel eboue Nafikiri ...alivyo tapiliwa pesa zake na Mali za jasho lake kwenye mpira wa miguu'
Ndio utajua wazungu sio wenzetu!
Ananyanyua lips anakuonesha meno wewe
Unatafsiri anakuchekea unajipendekeza saa akija kukujeuka utashangaa'
Angalia mikataba wanao ingia wakija Afrika.
Wanapiga picha meno juu, mwafirika naye meno juu' Ila njoo kwenye vipengele walivyo suka ndani ya mikataba hiyo utalia!
 
Kwahiyo kumbe majibu unayo dokita chazi!! Si ungesema tu tusome kama story tuburudike.

Haya tuachane na hayo, nipe basi connection nami nije nipatepo kaexposure maana ushanichamba huko juu mweeh!!
 
U
Ujuaji mwingi Ni bure tu!
Nyinyi wapenda down mnathani Haiwezekani kuletewa kirahisi hivyo?
Je Kama wanamtafutia sababu ya kumwondoa hapo! Ww unajuaje!
Mweusi pekee kwenye hiyo Nyumba!
Doris anakuja huenda anakuja kumpa ulinzi kiaina ili hao wapangaji wasije mfanyia kitu' mbaya wakiona Hana ndugu mzungu hapo!!
Ndio maana stori Inasema ulaya! Pia Inasema mtego'
Hakuna mahali Dokta Charles kafanya Jambo baya!
Kuja kwa Doris Ni usalama wake kwenye Hilo Eneo.
Mkiwaza kwa kichwa Cha chini Huwezi amini Ila ukiwa kwa kichwa Cha juu . Akili utagundua Dokta Charles yupo mtegoni
Hapo.
Pia mume wa Doris Anamjua Dokta Charles Hana shida naye na stori imeeleza.
Pia stori haisemi Doris alikuja hospital akiwa Katika Hali Gani! je Kama alikuwa kazidiwa Haiwezekani mtu kukusaidia Baada ya wewe kumwokoa kwenye kitu' hatari kwake?
Ujuaji mwingne nyie watu Ni hopeless kabisa!!
 
Kwahiyo kumbe majibu unayo bwana Roy!! Si ungesema tu tusome kama story tuburudike.

Haya tuachane na hayo, nipe basi connection nami nije nipatepo kaexposure maana ushanichamba huko juu mweeh!!
Connection Kama upo ulaya nimwombe atoe namba ya mke Askari nikutumie ili ujiconnect mwenyewe ! 😀😀
Huku ukijua jamaa yake Ana mashine zile automatic kabisa!!
 
Acha uongo hapo ni Sweden ghorofa zikizidi sana ni 8.
Kwasababu ya kuogopa matetemeko km Turkey.
Na hamna mtu binafsi amiliki hilo ghorofa yote ni ya Serikali.
Sema alipewa chumba akae na wanachangia sebule ndio akutane na wengine.
Au aonane nao kwenye dining room.
Hela ngumu huko na ulivyosema huyo mama mzee ni anakula pensheni.
Atatoa wapi hela ya kumuhurumia huyo wakati yeye anapewa na Serikali huduma zote.
Hizo nchi utapewa ofa ya mbususu tu.
Hata bia moja hapati.
Msilete ujinga hap
Kusaidia nini huku ni kazi yake na analipwa mshahara?
Unaongea upumbavu.
Nishakwambia hakuna cha dr Charles wala upuuzi wowote story zenu za kuongopeana tu.
Hayo yote uliyoandika ni ya kusadikika.
Hakuna hivyo vitu nchi hizo.
Kalaghabaho
 
Hivi wewe mtu unatumia ushaidi gani kukataa?
Kisa gorofa 12 kwa hiyo kila kitu' kitajwe wazi wazi!
Ungekuwa msomi ungechambua kwa Hoja kwann unakataa!
Ila hutoi Hoja unakataa tu'
Kisa Ni nini? Kisa Ni krona na +46
Ww ulitaka itajwe nchi yenyewe kabisa? Hilo haliwezekani Ni heri kutokueleza stori Hapa kuliko kuelezea uhalisia wa kila kitu'..Hilo halipo !!
 
Hilo jina lako na picha vinakuakisi vizuri Akili yako!
Babu kisha akawa kijana ...wapenda chini Sana bila shaka!!
 
No my brother wewe ndo huna unalolijua ndo maana umekurupuka huko kuja kusema ni uongo[emoji23][emoji23] tupunguze ujuaji…U much know kwenye kila kitu mwisho siku utaonekana mpumbavu kwenye kundi la wajinga
🤣🤣🤣
Haya
 
Yaan wazungu gani wanatoa msaada rahisi hivyoo?? Mbna inashangazaa,

Nweii muambie huyo Dr asome amalize arudi huku Bongo, huko Swedish atatelezeshwa chooni buree afu ageuke mtoto wa watu.

Ni ushauri tyuuh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…