Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 2,139
- 5,109
tunasubiri bima ile ya wote CCM wanayotupiga nayo dana dana wao wakitafuna keki ya nchi taratibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona mnataka kukusanya hela za uchaguzi kijajnja sio ?we ng"ang"ana na iphone na upuuze bima ya afya utakumbuka zawadi yangu hii ya mawaidha ya mwaka mpya 2025![]()
watu wangu wana angamia kwa kukosa maariafa inakuandama gentleman,Bima ya afya ni kujilisha upepo tu. Uwe na bima au usiwe nayo, itakufa tu.

gentleman,tunasubiri bima ile ya wote CCM wanayotupiga nayo dana dana wao wakitafuna keki ya nchi taratibu

katika jimbo langu,Mkuu nilipo nina bima ya afya ya level ya raisi wako kijana😄
Hiyo bima ya afya japo inamsaada ukiumwa mafua na vigonjwa vidogo, ila kwa mtu maskini bado ni mwiba mkali akipata tatizo kubwa bima ya afya kumsaidia.

gentleman, bima zina vifurushi ,Wanakusanya pesa
Za watotooo
Mtoto anaednda kupimaa
Unaambiwa bima yake haitoshelezi
Niko MKOA si Bora nileweeeeee
Mnatesa sanaa

ni muhimu sana kila mdau kua na bima ya afya gentleman,Naona mnataka kukusanya hela za uchaguzi kijajnja sio ?
Nna Bima ya DLA ( Defensive Logistic Agency ) hi inatosha Hadi nazikwa sio kanjanja zenu hizo.

Umekubali kuwa CCM ni matapeligentleman,
afya na uhai ni zawadi za bure kutoka kwa Mungu,
inafaa kuzitunza vizuri sana bila kusubiri sijui eti nani alisema nini wapi.
huko ni kujidhulumu na kutokujipenda.
make sure una bima ya afya 2025, plz itakusaidia sana![]()
Mawazo mazuri haya. Nami nimekuwa nikiwashawishi majirani zangu hasa wenye watoto wanaosema kuwakatia Bima za Afya.Itakusaidia sana na kukuepusha na fedheha za kujifungia ndani kwasababu huna pesa ya matibabu, au kujiuguza kwa kukimbilia kununua panadol tu, au kufakamia dawa ambazo si sahihi kiholela dhidi ya ugonjwa au maradhi yatakayokua yanakusumbua,
Lakini pia bima ya afya inaondoa unyonge na inaweza kunusuru maisha yako.
Tafadhali sana,
Mawaidha hayo ndio zawadi yangu kwenu kwa mwaka mpya2025.
Natumai kujadiliana mambo ya kisiasa tukiwa na afya njema, lakini pia kua na uhakika wa matibabu, endapo tutapitia changamoto za kiafya tukiwa na bima.
Happy new year2025 my friends, ladies and gentleman![]()
🤣🤣🤣 Kwamba kutakua na maumivu yasiyotarajiwa hence kupelekea magonjwa yasiyo eleweka!!.Itakusaidia sana na kukuepusha na fedheha za kujifungia ndani kwasababu huna pesa ya matibabu, au kujiuguza kwa kukimbilia kununua panadol tu, au kufakamia dawa ambazo si sahihi kiholela dhidi ya ugonjwa au maradhi yatakayokua yanakusumbua,
Lakini pia bima ya afya inaondoa unyonge na inaweza kunusuru maisha yako.
Tafadhali sana,
Mawaidha hayo ndio zawadi yangu kwenu kwa mwaka mpya2025.
Natumai kujadiliana mambo ya kisiasa tukiwa na afya njema, lakini pia kua na uhakika wa matibabu, endapo tutapitia changamoto za kiafya tukiwa na bima.
Happy new year2025 my friends, ladies and gentleman![]()