Ndugu Zangu, Hususani wa Jukwaa la Siasa, Hakikisha Miongoni Mwa Malengo Yako Kwa Mwaka 2025, Unakua na Bima Ya Afya.

Bima ya afya ni kujilisha upepo tu. Uwe na bima au usiwe nayo, itakufa tu.
watu wangu wana angamia kwa kukosa maariafa inakuandama gentleman,

binafsi natetea afya na uhai wa marafiki na wadau wote JF,

sio lazima kuzingatia mawaidha na zawadi yangu hii kidogo kwa mwaka mpya2025, ni hiyari gentleman
 
tunasubiri bima ile ya wote CCM wanayotupiga nayo dana dana wao wakitafuna keki ya nchi taratibu
gentleman,
afya na uhai ni zawadi za bure kutoka kwa Mungu,

inafaa kuzitunza vizuri sana bila kusubiri sijui eti nani alisema nini wapi.

huko ni kujidhulumu na kutokujipenda.

make sure una bima ya afya 2025, plz itakusaidia sana
 
Mkuu nilipo nina bima ya afya ya level ya raisi wako kijana😄

Hiyo bima ya afya japo inamsaada ukiumwa mafua na vigonjwa vidogo, ila kwa mtu maskini bado ni mwiba mkali akipata tatizo kubwa bima ya afya kumsaidia.
katika jimbo langu,
mwaka ujao wa fedha, hususan baada ya uchaguzi mkuu,

afya ni kipaumbele cha kwanza,
na kazi ya kwanza ni kuhakikisha zile shule baadhi amabazo bado wanafunzi wake hawana bima za afya, basi wote wanapata bima za afya. na hii ni kuanzia chekechea na sekondari, kabla ya kugeukia kaya na familia zote jimboni, kuhakikisha wana bima za afya kabla ya mwaka 2028.

bima ni msaada na mkombozi mkubwa zaidi kwa wenye kipato cha chini gentleaman
 
Wanakusanya pesa
Za watotooo

Mtoto anaednda kupimaa

Unaambiwa bima yake haitoshelezi

Niko MKOA si Bora nileweeeeee

Mnatesa sanaa
gentleman, bima zina vifurushi ,
hata hivyo zinasitiri mambo mengi mno licha ya kua katika vifurushi tofauti tofauti ambavyo ni rahisi kubadili na kupata huduma stahiki
 
Naona mnataka kukusanya hela za uchaguzi kijajnja sio ?

Nna Bima ya DLA ( Defensive Logistic Agency ) hi inatosha Hadi nazikwa sio kanjanja zenu hizo.
ni muhimu sana kila mdau kua na bima ya afya gentleman,

tutachangiana mpaka lini mtu akiwa tayari ameathirika vibaya kiafya, kutokana na kukosa pesa ya matibabu na bima huku mkononi unamuona kashikilia iphone ya 4m na hajaweka vocha wiki ya tatu sasa?
 
Mawazo mazuri haya. Nami nimekuwa nikiwashawishi majirani zangu hasa wenye watoto wanaosema kuwakatia Bima za Afya.
 
🤣🤣🤣 Kwamba kutakua na maumivu yasiyotarajiwa hence kupelekea magonjwa yasiyo eleweka!!.
Nimecheka sana hiyo tahadhari.
 
Niliwaona wamaana walivyorudisha Toto afya card.
Maana kuna watoto tulikuwa tunawalipia hii huduma.
Natumai January hii zoezi litaendelea.

Ndugu zangu bima ni muhimu sana hebu jitafakari unalipia bima ya gari, halafu bima ya afya yako unapuuza hivi uko timamu kweli..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…