jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Mkuu mbona unakua mnyonge inamaana una mpenzi mmoja tu?Ana 24 wazazi wake wanataka 4m yeye amepunguza mpaka 2.6m kisa anadai 1m sio Thamani yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mbona unakua mnyonge inamaana una mpenzi mmoja tu?Ana 24 wazazi wake wanataka 4m yeye amepunguza mpaka 2.6m kisa anadai 1m sio Thamani yake
Ni kweli anatakiwa asubili ashuke Cashout ifike elf 70Achana nae huyo ata akishuka hadi laki, ngoja mshale uanze kusoma 28+ kama meridianbet ndio atajua hajui.
😂Ni kweli anatakiwa asubili ashuke Cashout ifike elf 70
inauma sana hiyo na ndio staili yanguMimi ningemuacha bila hata meseji moja, ningenyamaza kimya milele.
ACHANA NA HUYO MWANAMKE MARA MOJA.Wakuu huyu mwanamke nampenda sana na anadai ananipenda sana, Sasa issue ipo kwenye mahari.
Binafsi Nina 1m kwa ajili ya ndoa ila Cha ajabu yeye anataka 2.6m anataka akiba yote niinvest kwenye mahari na ndoa jamani hii imekaa sawa??
Namuuliza anasema kama vipi tuachane. Mimi nimemwambia ukweli kuwa siwezi kutoa zaidi ya 1.m kama deni sawa ntamalizia yeye anataka 2.6m Sasa ina maana mtu uache kuexpand biashara uwekeze kwenye ndoa?
Hii ipoje wakuuu!