Hivi vitoto jau sana, mimi cha kwangu ni kitumishi kabisa kina 24yrs now.
Kutokana na mimi kuwa busy nikawa nakipa nafasi ya kujiendesha chenyewe. Mimi kazi yangu ikawa ni kutoa mahitaji ya msingi pale inapohitajika na kukipiga miti pale napopata muda wa kutosha. Nashangaa kinaanza kunambia sikipi muda mara sijali hisia zake aisee,,,
Ukawa ugomvi kabisa anadai namfanyia vile sababu nimemfanyia mambo mengi(kiuchumi) kwahiyo najua hawezi kuniacha.
Juzi nikakiambia tafuta watoto wenzio mkabembelezane nikakiachia kila kitu.