- Thread starter
- #181
Shukran sana, uzuri wa JF watu wanaona mbali sana. Naheshimu sana mawazo yenu100% safi sana! wanawake wasitubabaishe wakati wapo mabinti decent kabisa!
Huyo sio kabisa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukran sana, uzuri wa JF watu wanaona mbali sana. Naheshimu sana mawazo yenu100% safi sana! wanawake wasitubabaishe wakati wapo mabinti decent kabisa!
Huyo sio kabisa!
Sawa shukranHAA 🙄🙄
Achana naye mara1, Mblock mpaka sanduku la posta.
Nakelewa sanaHuyo sio mwanamke wa kuoa broo! utapata tabu maisha yako ukioa huyo na huwezi dumu nae..Amini nakuambia.
Mahari sio mahali huwa hailipwi yote, tunapunguza tu maisha yanaendelea tunamaliza mahari ikitokea mke kafariki tu otherwise hadi maisha yanaisha bado tunatunza deni ili kuwe na sababu ya kuwasiliana na wakwe! Kama mke ndo anashinikiza yasiyomuhusu kuna tatizo hapo na huenda ana cha juuWakuu huyu mwqnamke nampenda sana na anadai ananipenda sana, Sasa issue ipo kwenye mahali.
Binafsi Nina 1m kwa ajili ya ndoa ila Cha ajabu yeye anataka 2.6m anataka akiba yote niinvest kwenye mahali na ndoa jamani hii imekaa sawa??
Namuuliza anasema kama vipi tuachane. Mimi nimemwambia ukweli kuwa siwezi kutoa Zaidi ya 1.m kama deni sawa ntamalizia yeye anataka 2.6m Sasa inaamaana mtu uache kuexpand biashara uwekeze kwenye ndoa?? Hii ipoje wakuuu!
Naandika ushauri huu kwa uchungu sana.
KWANZA, Kupangiwa mahali nje ya uwezo wako wa kawaida ni kukosa utu, wazazi wenye akili ya maisha na wanaojua ndoa ni nini huwa wanampa ruhusa binti apange mahali kwasababu binti ndiye anajua maisha halisi ya mume wake mtarajiwa.
PILI, Kama mwanamke amedai muachane kwasababu hauna Mil. 2 au bajeti yako hairuhusu, mimi nakushauri ni heri uachane naye kweli na utafute maisha mengine kwa hasira. Utapata wa kukuelewa. Wapo mabinti wengi ambao ni waelewa sana na wanatafuta wanaume wa maisha.
TATU, Kama unampenda kweli itakutesa sana kwasababu ushauri tutakaokupa utaona kama haukufai na utaamua uamuzi wako. Ila ni heri uachane naye kabla hajakuambia mengine yatakayokushinda huku ukiwa tayari umeshatoa hela yako ya mahali.
Kwa kauli hiyo kimbia mbio sana, Mungu anakupenda na amekufunulia signal kwamba huyo unayedhani anafaa kuwa mke ni hafai. Yatakukuta yaliomkuta MC Pilipili ndani ya mwaka mmoja na nusu.
Jiongeze, mwanamke akipenda huwa ni mtiifu na muelewa kwa mwanaume wake. Hawi mbinafsi na hampelekeshi mwanaume wake ila kwa upendo na heshima anampa nafasi ya kutoa mawazo mazuri kwa manufaa ya wote sababu ndio mtaishi pamoja. Pia anakuwa tayari hata kujinyima furaha ili tu ahakikishe wewe unaridhika kwanza hii kitaalamu inaitwa "submission".
Hio element ikikosekana ndio mwanamke hatawaliki. Anakuwa ana kiburi, dharau za wazi wazi tafsiri yake ni kwamba hakupendi na wala hajali lolote kuhusu wewe.
Hana adabu kwanza
Pili hakuna mke hapo utafurahia ukioa
Kingine huyu dada yaonekana anakupanda kichwani sana...yaani we unampenda sanaaa!!
Sijui hata akili ya kuanzisha uzi kaitoa wapi!! Hiyo ni bonge ya red flag 🙆♂️🙆♂️Ila Binti ana dharau, imagine anamwambia jamaa amwambie mama ake amtafutie mke 😂😂😂. Jamaa Kai hukulia poa hii kauli ila ni nzito saana
Hongera sana kama umefikia uamuzi huo,ameonyesha redflag mapema mno,tatizo huwa tunadharau kufuatilia hizi isharaSawa mkuu shukrani Tayari nimepiga chini takataka hii
Shukran sana kamandaHongera sana kama umefikia uamuzi huo,ameonyesha redflag mapema mno,tatizo huwa tunadharau kufuatilia hizi ishara
Nilifikir ungekamatika na bikira kama baadhi ya wajinga humu wanavyoziabudu,,haya umemtoa bikira na bado anataka muachane,je hapo bikira yake ina manufaa gani?
Mwanamke akikupenda atakuwa wa kwanza kukutafutia unafuu wewe mwanaume wake ili mtimize lengo lenu,lkn huyo ndio kwanza anakuwa kikwazo kwako
Halafu ogopa mwanamke anayeweka demand ili umfanyie jambo fulani,basi tambua ungetimiza hili takwa lake,ungekutana na demand nyingine nyingi tu
Kwanini baadhi ya wanaume wanapoteza mamlaka kwa wake zao? Ni kutokana na mambo kama haya,leo atataka hili kesho lile na mwisho wa siku yeye ndio anakuwa juu yako
Kama kweli umempiga chini hongera ila kama unatuongopea ili uonekane una msimamo hapa juu ya jukwaa,hilo ni tatizo lako na utajifunza in a hard way
Hongera sana kama umefikia uamuzi huo,ameonyesha redflag mapema mno,tatizo huwa tunadharau kufuatilia hizi ishara
Nilifikir ungekamatika na bikira kama baadhi ya wajinga humu wanavyoziabudu,,haya umemtoa bikira na bado anataka muachane,je hapo bikira yake ina manufaa gani?
Mwanamke akikupenda atakuwa wa kwanza kukutafutia unafuu wewe mwanaume wake ili mtimize lengo lenu,lkn huyo ndio kwanza anakuwa kikwazo kwako
Halafu ogopa mwanamke anayeweka demand ili umfanyie jambo fulani,basi tambua ungetimiza hili takwa lake,ungekutana na demand nyingine nyingi tu
Kwanini baadhi ya wanaume wanapoteza mamlaka kwa wake zao? Ni kutokana na mambo kama haya,leo atataka hili kesho lile na mwisho wa siku yeye ndio anakuwa juu yako
Kama kweli umempiga chini hongera ila kama unatuongopea ili uonekane una msimamo hapa juu ya jukwaa,hilo ni tatizo lako na utajifunza in a hard way
Hongera sana expert wangu,,,,ebu chek jibu lake eti "sawa"
Mkuu naomba kukuweka sawa.Hongera sana expert wangu,,,,ebu chek jibu lake eti "sawa"
Angekuwa anakupenda kweli lazima angekuwa kwenye mshtuko baada ya hiyo text yako
Hongera sana kwa kuligundua hili mapema,hata akijirudi baada ya siku siku chache zijazo,huyu sio mtu wa kuanza nae maisha trust me
Utampata mwingine tu expert wangu
Asante kwa kuniweka sawa,shukranMkuu naomba kukuweka sawa.
Hiyo sms ndefu ni sms yake yeye baada ya mm kumuambia ukweli kuwa simuhitaji mana Kuna siku nilimwambia kama Mungu amepanga tuwe wote basi atatupa majibu yeye akajibu hiyo Mimi nikajibu sawa.
Kataa ndoa bro tafuta pesa hivyo viumbe havielewekiWakuu huyu mwqnamke nampenda sana na anadai ananipenda sana, Sasa issue ipo kwenye mahali.
Binafsi Nina 1m kwa ajili ya ndoa ila Cha ajabu yeye anataka 2.6m anataka akiba yote niinvest kwenye mahali na ndoa jamani hii imekaa sawa??
Namuuliza anasema kama vipi tuachane. Mimi nimemwambia ukweli kuwa siwezi kutoa Zaidi ya 1.m kama deni sawa ntamalizia yeye anataka 2.6m Sasa inaamaana mtu uache kuexpand biashara uwekeze kwenye ndoa?? Hii ipoje wakuuu!
2.6 M ni fair sana!Wakuu huyu mwqnamke nampenda sana na anadai ananipenda sana, Sasa issue ipo kwenye mahali.
Binafsi Nina 1m kwa ajili ya ndoa ila Cha ajabu yeye anataka 2.6m anataka akiba yote niinvest kwenye mahali na ndoa jamani hii imekaa sawa??
Namuuliza anasema kama vipi tuachane. Mimi nimemwambia ukweli kuwa siwezi kutoa Zaidi ya 1.m kama deni sawa ntamalizia yeye anataka 2.6m Sasa inaamaana mtu uache kuexpand biashara uwekeze kwenye ndoa?? Hii ipoje wakuuu!
Hakuzaliwa peke yake, wako wengi hao tena wengine unapewa kwa reasonable dowryRedflag ya kwanza ni kuandika kwa herufi kubwa neno TUACHANE!
Kimbia uiokoe roho yako...