Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,278
- 6,843
Mtupori_Tz Nimeona anasema utapata wa dini yako wewe ni dini gani? na unamaanisha unalazimisha kuoa mtu asiye wa dini yako?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na yuko serious as if she's worth that money, what a bi*chNikisema Wanawake ni bidhaa kama walivyo nguruwe nakosea? Mtu anawezaje kusema yeye anathamani ya 2.6m
Khee kumbe sio wa dini yako hakuna ndoa hapo
Kwahiyo ungekuwa wewe ungemshangaza sioYaani hapa ingekuwa Mimi angefurahi. Bint kaona jamaa kasha zama mzima mzima.
Hakuna demu wa kubeba mimba hapo, jamaa kazidiwa ujanja na mwanamkeMpe mimba, watakupa uende nae buree kabisa kwa makubaliano kuwa mahari utaja wapa mbeleni ukipenda.
Mtafika tu.Wakuu huyu mwqnamke nampenda sana na anadai ananipenda sana, Sasa issue ipo kwenye mahali.
Binafsi Nina 1m kwa ajili ya ndoa ila Cha ajabu yeye anataka 2.6m anataka akiba yote niinvest kwenye mahali na ndoa jamani hii imekaa sawa??
Namuuliza anasema kama vipi tuachane. Mimi nimemwambia ukweli kuwa siwezi kutoa Zaidi ya 1.m kama deni sawa ntamalizia yeye anataka 2.6m Sasa inaamaana mtu uache kuexpand biashara uwekeze kwenye ndoa?? Hii ipoje wakuuu!
Umenena mkuu.Wanawake hawatupendi wanaume!
Wana pretend Ili tuwabebee mizigo ya maisha yao!
Wakishafanikiwa hawatutaki tena!
Wanatafuta waliobora kuliko wewe na kukufukuza kisiasa Kwa kukudharau,kukunyima unyumba na kukugombeza kama mtoto na kebehi juu,ukimuwasha makofi anaenda ustawi kutaka talaka!
Sisi tunazisoma Lamar za nyakati na kuanza kujiondokea kimya kimya!
Huyo wa kwako kaonyesha makucha mapema coz ana mtu tayari anemuona anafaa kuliko wewe ndio Maana katoa kipimo Ili ushindwe aende kwa jamaa anaemuheshim!!
Nilishawadharau Hawa viumbe sitaki hasta kuwasikia Bora ununue kuliko kuwekeza muda ,Mali,na hisia!!
Wabinafsi sana!
Huna kipaji.Yaani hizi kengemaji zilizo 20 mpka 25yrs zinasumbua ajabu.
Kuna kamoja nilijaribu kukatreat kama mke,!!! aisee mliooa shikamooni. Na hapo ni miezi mitatu peke yake ila akili imenirudi.
Kwa kauli hiyo kimbia mbio sana, Mungu anakupenda na amekufunulia signal kwamba huyo unayedhani anafaa kuwa mke ni hafai. Yatakukuta yaliomkuta MC Pilipili ndani ya mwaka mmoja na nusu.
Unamdanganya mwenzio kwa faida ya nani? Wewe kama Msukuma kweli ulishaona wapi mahari ya 1m? Uzungu unatuharibia mila na desturi zetu!Mahali ❌️
Mahari ✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️
➡️➡️➡️ Ushauri mwingine sina ila ni wazi mwanamke huyo anakudharau sana; na ni wazi unalazimisha mambo 👇👇👇. Hata ukikomaa naye siwaoni mkiwa na ndoa yenye furaha labda we mwanaume ukubali kuwa bumunda katika ndoa na familia yenu. Simp! 🚮
View attachment 3214837
Huyo bado hajakuwa na anajiona mzuri ndio maana anakupelekesha. Waachie wahuni wapige pige we tafta mwanamke matured wa 25-26 kisha mfanye maisha.Ndio ana 24
Bikra nayo sifa sasa? Kwa taarifa yako huyo tulikuwa tunapakua kinyesi ndiyo maana umemkuta huko mbele yuko hivyoYeye ni mndali mtu wa mbeya
Ndio nimemkuta bikra ila kwasasa Hana tena
Unampigia debe dadaako😂?! Huo ujinga labda umfanyie mtu asiyejielewa. Kwa mimi dadaako angekuwa single maza sahizi😁Siku hizi mnajipangia mahari na hapo jamaa hajaminywa vizuri nna sister yangu kipindi anaolewa alimminya jamaa dakika za lala salama mpaka jamaa akaingia madeni ili tu amuoe kimwali wake, usichoamini sasa hivi wanavuka mwaka wa 7 na watoto wawili mkononi na mmoja yupo njiani kumbe zile hela mwanamke kipindi cha uchumba, posa, mpaka ndoa hua mwanamke (mwenye akili) anazirudisha mkishaingia ndani, zingatia nazungumzia mwanamke mwenye akili anachofanya ni kukupima imani yako tu na upendo wako kwake km kweli unampenda utazitafuta hata kwa ku-risk maisha yako ili tu umpe, anazirudishaje kuna namna ya kujifunza vijana hio ni siri ya kambi
Anazirudisha kwa makubaliano gani?😂Hio ipo mzee ukiwa mzembe unatema bungo baada ya wiki unasikia kaolewa na mwingine ni mtego huo unaunasuaje tafuta mshenga mwenye akili mkae chini mjue nini cha kufanya ila hizo hela zote hua anazirudisha kwako ukishamuoa, akili kichwani mwako
Jamaa anashangaza sanaUnamwingiza mkenge mwenzetu