nakwede97
JF-Expert Member
- Aug 9, 2021
- 946
- 2,478
S
Siku hizi mnajipangia mahari na hapo jamaa hajaminywa vizuri nna sister yangu kipindi anaolewa alimminya jamaa dakika za lala salama mpaka jamaa akaingia madeni ili tu amuoe kimwali wake, usichoamini sasa hivi wanavuka mwaka wa 7 na watoto wawili mkononi na mmoja yupo njiani kumbe zile hela mwanamke kipindi cha uchumba, posa, mpaka ndoa hua mwanamke (mwenye akili) anazirudisha mkishaingia ndani, zingatia nazungumzia mwanamke mwenye akili anachofanya ni kukupima imani yako tu na upendo wako kwake km kweli unampenda utazitafuta hata kwa ku-risk maisha yako ili tu umpe, anazirudishaje kuna namna ya kujifunza vijana hio ni siri ya ka
Sio wote wenye akili iyo wengine wanataka mambo mkubwa Kwa ajil ya showoff nakusahau Kuna keshoSiku hizi mnajipangia mahari na hapo jamaa hajaminywa vizuri nna sister yangu kipindi anaolewa alimminya jamaa dakika za lala salama mpaka jamaa akaingia madeni ili tu amuoe kimwali wake, usichoamini sasa hivi wanavuka mwaka wa 7 na watoto wawili mkononi na mmoja yupo njiani kumbe zile hela mwanamke kipindi cha uchumba, posa, mpaka ndoa hua mwanamke (mwenye akili) anazirudisha mkishaingia ndani, zingatia nazungumzia mwanamke mwenye akili anachofanya ni kukupima imani yako tu na upendo wako kwake km kweli unampenda utazitafuta hata kwa ku-risk maisha yako ili tu umpe, anazirudishaje kuna namna ya kujifunza vijana hio ni siri ya kambi