Respect is everything.Wakuu huyu mwqnamke nampenda sana na anadai ananipenda sana, Sasa issue ipo kwenye mahali.
Binafsi Nina 1m kwa ajili ya ndoa ila Cha ajabu yeye anataka 2.6m anataka akiba yote niinvest kwenye mahali na ndoa jamani hii imekaa sawa??
Namuuliza anasema kama vipi tuachane. Mimi nimemwambia ukweli kuwa siwezi kutoa Zaidi ya 1.m kama deni sawa ntamalizia yeye anataka 2.6m Sasa inaamaana mtu uache kuexpand biashara uwekeze kwenye ndoa?? Hii ipoje wakuuu!
Uncle una umri gani sorry for this question, cuz nasikia kinyaa kuhusu hili unaleta utoto na mwanamke wako mtoto mtoto. Hapo nini unataka tukushauri ( Binti kasema 1.mwambie Mama yako akutafutie. 2. Kama vipi tuachane) choose wisely. Alafu unasema Kama vipi utamalizia deni la 1.6M kwanini usitafute hiyo pesa yote utuletee ikiwa kamili ili tukukabidhi Binti yetu mwenye discipline kuzidi Mabinti wote wa humu JF maana inaonekana umeshidwa kumuacha mbali zaidi naona umekosa uvumilivu.