Ndugu zangu Kuna upendo kweli hapa?

Ndugu zangu Kuna upendo kweli hapa?

Sasa si upige chini
Huyo atakupelekesha huko mbeleni...ama uko tayari kuolewa?

Kwanza anakuandikiaje text kiubabe namna hiyo au ni drama tu hizi unatuletea humu?

Sasa si upige chini
Huyo atakupelekesha huko mbeleni...ama uko tayari kuolewa?

Kwanza anakuandikiaje text kiubabe namna hiyo au ni drama tu hizi unatuletea humu?
Hapana hakuna Drama mkuu,
Sasa si upige chini
Huyo atakupelekesha huko mbeleni...ama uko tayari kuolewa?

Kwanza anakuandikiaje text kiubabe namna hiyo au ni drama tu hizi unatuletea humu?
Hapana mkuu hakuna Drama, hiyo ndio hulka yake
 
Ifike hatua hata wadada waone aibu kuolewa kwa mahari maana ni kama unanunuliwa ati!, ila ndo kwanza wameshupaza shingo wanajipangia mahari kubwa!.

Mkuu achana na huyo kasongo, kwanza umekosea sana hata kuja kutuomba ushauri huyo ilitakiwa unamuacha tu hakuna kuuliza.
 
Sasa mahusiano gani hayo wanashindwa kuelewana kwa jambo dogo

Halafu mwanamke wake anaonekana ana dharau
sio dharau tu, anaonekana ana sauti kwa jamaa, yaani jamaa ameonyesha kuwa anampenda sana, ndio maana anamjambisha et tuachane kah! mil 2.6 ndogo? wakat kuna wenzake huwa wanaanza kuishi kwanza na wanazaa kabisa ndio mahari zinaenda
 
Hakuna mke hapo, utapigwa kitu kizito kichwani. Hata mkioana hamtamaliza miezi 3 kabla ya kugombana na yeye kudai talaka. Labda km unatoa hizo fedha uoe mabinti wote wa mji huo. Kwanza yupo aged, keshatumika to the maximum eti bado unaomba ushauri.
 
Mahali ❌️

Mahari ✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️

➡️➡️➡️ Ushauri mwingine sina ila ni wazi mwanamke huyo anakudharau sana; na ni wazi unalazimisha mambo 👇👇👇. Hata ukikomaa naye siwaoni mkiwa na ndoa yenye furaha labda we mwanaume ukubali kuwa bumunda katika ndoa na familia yenu. Simp! 🚮

View attachment 3214837
Analazimisha sana tu, alisema yeye muislamu, mwanamke kkkt hawaelewani

Eti kisa 'amemkuta bikra' eti ni jambo la maana sana.
 
Back
Top Bottom