Ndugu zangu Kuna upendo kweli hapa?

Ndugu zangu Kuna upendo kweli hapa?

Wakuu huyu mwqnamke nampenda sana na anadai ananipenda sana, Sasa issue ipo kwenye mahali.

Binafsi Nina 1m kwa ajili ya ndoa ila Cha ajabu yeye anataka 2.6m anataka akiba yote niinvest kwenye mahali na ndoa jamani hii imekaa sawa??

Namuuliza anasema kama vipi tuachane. Mimi nimemwambia ukweli kuwa siwezi kutoa Zaidi ya 1.m kama deni sawa ntamalizia yeye anataka 2.6m Sasa inaamaana mtu uache kuexpand biashara uwekeze kwenye ndoa?? Hii ipoje wakuuu
Amka wewe
 
Wap tena jaman😊
Siku hizi mnajipangia mahari na hapo jamaa hajaminywa vizuri nna sister yangu kipindi anaolewa alimminya jamaa dakika za lala salama mpaka jamaa akaingia madeni ili tu amuoe kimwali wake, usichoamini sasa hivi wanavuka mwaka wa 7 na watoto wawili mkononi na mmoja yupo njiani kumbe zile hela mwanamke kipindi cha uchumba, posa, mpaka ndoa hua mwanamke (mwenye akili) anazirudisha mkishaingia ndani, zingatia nazungumzia mwanamke mwenye akili anachofanya ni kukupima imani yako tu na upendo wako kwake km kweli unampenda utazitafuta hata kwa ku-risk maisha yako ili tu umpe, anazirudishaje kuna namna ya kujifunza vijana hio ni siri ya kambi
 
Utoto unamsumbua, msamehe bure, hajayajua maisha yanavyokwenda, nenda naye taratibu, ila kaza atachukua nafasi ya mme
Hio ipo mzee ukiwa mzembe unatema bungo baada ya wiki unasikia kaolewa na mwingine ni mtego huo unaunasuaje tafuta mshenga mwenye akili mkae chini mjue nini cha kufanya ila hizo hela zote hua anazirudisha kwako ukishamuoa, akili kichwani mwako
 
B
Wakuu huyu mwqnamke nampenda sana na anadai ananipenda sana, Sasa issue ipo kwenye mahali.

Binafsi Nina 1m kwa ajili ya ndoa ila Cha ajabu yeye anataka 2.6m anataka akiba yote niinvest kwenye mahali na ndoa jamani hii imekaa sawa??

Namuuliza anasema kama vipi tuachane. Mimi nimemwambia ukweli kuwa siwezi kutoa Zaidi ya 1.m kama deni sawa ntamalizia yeye anataka 2.6m Sasa inaamaana mtu uache kuexpand biashara uwekeze kwenye ndoa?? Hii ipoje wakuuu!
Bosi we dini gani?
Am serious. Mwanamke asikuchanganye kama unataka kuoa unapata og kabisaa sema uko dini gani. Asikuchanganye kabisaa huyo wanawake kibao wapo kamanda. Duh yaani ashakwambia kabisaa na wanawake walipo asee shida sana.
 
Asimchanganye vipi wakati anampima? Hahaha vijana mtaishia kubakia kataa ndoa milele hivi mnawajua wanawake vizuri nyinyi? Usiulize Dini uliza ni Kabila gani? Anzia hapo ndio maana akampa mikoa ya kwenda kuchukua Cheap Womens kwa bei ya fungu la nyanya 2 yaan awahi Tabora na Kigoma kule Nyarugusu yaan haifiki 1M fasta anachukua chombo, kwa hio muulize huyo binti anatokea mkoa gani? Anzia hapo
 
Wakuu huyu mwqnamke nampenda sana na anadai ananipenda sana, Sasa issue ipo kwenye mahali.

Binafsi Nina 1m kwa ajili ya ndoa ila Cha ajabu yeye anataka 2.6m anataka akiba yote niinvest kwenye mahali na ndoa jamani hii imekaa sawa??

Namuuliza anasema kama vipi tuachane. Mimi nimemwambia ukweli kuwa siwezi kutoa Zaidi ya 1.m kama deni sawa ntamalizia yeye anataka 2.6m Sasa inaamaana mtu uache kuexpand biashara uwekeze kwenye ndoa?? Hii ipoje wakuuu!
We maku taa nyekundu ishakuwakia kimbia fasta
 
Back
Top Bottom