Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,052
- 2,995
Amka weweWakuu huyu mwqnamke nampenda sana na anadai ananipenda sana, Sasa issue ipo kwenye mahali.
Binafsi Nina 1m kwa ajili ya ndoa ila Cha ajabu yeye anataka 2.6m anataka akiba yote niinvest kwenye mahali na ndoa jamani hii imekaa sawa??
Namuuliza anasema kama vipi tuachane. Mimi nimemwambia ukweli kuwa siwezi kutoa Zaidi ya 1.m kama deni sawa ntamalizia yeye anataka 2.6m Sasa inaamaana mtu uache kuexpand biashara uwekeze kwenye ndoa?? Hii ipoje wakuuu