Ndugu zangu Kuna upendo kweli hapa?

Ndugu zangu Kuna upendo kweli hapa?

Yeye ni mndali mtu wa mbeya
Ndio nimemkuta bikra ila kwasasa Hana tena
Wanawake wa Mbeya ni makeuri nadhani kuliko wanawake wote duniani, nduguyangu ukitaka kufa ukiwa na miaka 35 tu, oa mwanamke wa Mbeya, huyo demu anakudharau ukimuoa tu, usipokufa kwa presha ndani ya mwaka mmoja, nimekaa pale....
 
Wakuu huyu mwqnamke nampenda sana na anadai ananipenda sana, Sasa issue ipo kwenye mahali.

Binafsi Nina 1m kwa ajili ya ndoa ila Cha ajabu yeye anataka 2.6m anataka akiba yote niinvest kwenye mahali na ndoa jamani hii imekaa sawa??

Namuuliza anasema kama vipi tuachane. Mimi nimemwambia ukweli kuwa siwezi kutoa Zaidi ya 1.m kama deni sawa ntamalizia yeye anataka 2.6m Sasa inaamaana mtu uache kuexpand biashara uwekeze kwenye ndoa?? Hii ipoje wakuuu!
Kwa hio pesa ya mahali anapanga yeye ?
 
Ukioa hilo boga utakuja kuteseka maisha yako yote. Naishia hapo
 
Respect is everything.
Uncle una umri gani sorry for this question, cuz nasikia kinyaa kuhusu hili unaleta utoto na mwanamke wako mtoto mtoto. Hapo nini unataka tukushauri ( Binti kasema 1.mwambie Mama yako akutafutie. 2. Kama vipi tuachane) choose wisely. Alafu unasema Kama vipi utamalizia deni la 1.6M kwanini usitafute hiyo pesa yote utuletee ikiwa kamili ili tukukabidhi Binti yetu mwenye discipline kuzidi Mabinti wote wa humu JF maana inaonekana umeshidwa kumuacha mbali zaidi naona umekosa uvumilivu.
Una uhakika na unachokisema mkuu?
 
Kati ya red flag sisi wanaume tunayo takiwa kuitambua hata kwenye small details za mawasiliano ni kitendo cha mtoto wa kike kutumia maandishi yenye capital letters kwa msisitizo!, maana yake rahisi ni kwamba anakupanda kichwani huyo …piga chini boss wanawake wako wengi mnoo
 
Yaani hizi kengemaji zilizo 20 mpka 25yrs zinasumbua ajabu.
Kuna kamoja nilijaribu kukatreat kama mke,!!! aisee mliooa shikamooni. Na hapo ni miezi mitatu peke yake ila akili imenirudi.
Mimi wa kwangu alikuwa anamaliza Chuo Coz pharmacy mwakajana kazaliwa 2003 it means she 22 now mwakajana sana
Akawa akiwa na shida na hela ndo ananitafuta namtumia nikituma na story zinaisha, hakuwahi kunitafuta
Kawaida Ata tu kuni Julia hali yeye ni kuomba hela tu(nakiri kosa nilimuingia kwa Gia ya hela)

Amezaliwa dsm kakulia dsm, kamaliza fomfour Chuo moja kwa moja nilipomwambia nataka kumuoa akasema hataki kuolewa kwa sasa na hawezi kuishi nje dsm sababu ety hajawahi kuvuka Ata kwenda morogoro toka azaliwe, akasema hawez kuishi mwanza ni vijijini🤣atakuja kama kutembea as a tourist
 
Hivi vitoto jau sana, mimi cha kwangu ni kitumishi kabisa kina 24yrs now.
Kutokana na mimi kuwa busy nikawa nakipa nafasi ya kujiendesha chenyewe. Mimi kazi yangu ikawa ni kutoa mahitaji ya msingi pale inapohitajika na kukipiga miti pale napopata muda wa kutosha. Nashangaa kinaanza kunambia sikipi muda mara sijali hisia zake aisee,,,
Ukawa ugomvi kabisa anadai namfanyia vile sababu nimemfanyia mambo mengi(kiuchumi) kwahiyo najua hawezi kuniacha.
Juzi nikakiambia tafuta watoto wenzio mkabembelezane nikakiachia kila kitu.
 
Aseee. Watoto wa 2000's ni kisanga
 
Ana 24 wazazi wake wanataka 4m yeye amepunguza mpaka 2.6m kisa anadai 1m sio Thamani yake
Ila ukistaajab ya Musa utaona ya Firauni, m4 mahari 😳, nadhan mimi ni mshamba au sielewi.........kama una eneo anza ujenzi wa mabanda ya uwani kisha upangishe.
 
Back
Top Bottom