Ndugu zangu, kwa mwenye kibarua chochote unikumbuke

Ndugu zangu, kwa mwenye kibarua chochote unikumbuke

Kama 80000 ni ndogo angeweka simu bondi alaf angekopa au angeazima ata 500,000kutoka kwa watu wa karibu alaf afanye biashara.
KWENYE MATATIZO UNATAKIWA UFIKIRI NJE YA BOX MAANA HAPO NDIPO.MAFANIKIO YANAPOKUJA
Muazime wewe hiyo laki tano au mwambie akuuzie sim, fanya jaribio la kuuza simu yako kwa Bei unayoona itakufaa halafu pesa utakayopata kiasi nunua kiswaswadu unachosema na nyingine fanyia biashara Kama utatoboa hata week.
 
Muazime wewe hiyo laki tano au mwambie akuuzie sim, fanya jaribio la kuuza simu yako kwa Bei unavyoona itakufaa halafu pesa utakayo kiasi nunua kiswaswadu unachosema na nyingine fanya biashara Kama utatoboa hata week.
Acheni ufala nyie mafala kwani nyinyi ndio mliomzaa Mbwa nyinyi amewaambia yeye hana ndugu hana wazazi? Mafala kabisa nyinyi
 
Muazime wewe hiyo laki tano au mwambie akuuzie sim, fanya jaribio la kuuza simu yako kwa Bei unayoona itakufaa halafu pesa utakayopata kiasi nunua kiswaswadu unachosema na nyingine fanyia biashara Kama utatoboa hata week.
Kwani hakuna wanaoishi kwa kuuza karanga/kahawa au magazeti au laki5 haitoshi hata kufuga kuku .

Ajira ni chache ila kazi ni nyingi.
 
Kwani hakuna wanaoishi kwa kuuza karanga/kahawa au magazeti au laki5 haitoshi hata kufuga kuku .

Ajira ni chache ila kazi ni nyingi.
Ni mtu ambae sio Fala tu ndio anaweza kukuelewa Ila mafala wote hawawezi kukuelewa Fala ni Fala tu na atabakia kua Fala habadiriki
 
Assalam Allaykum,

Mpka sasa sijala na sjajua siku inaisha vipi, sina pesa wala mpango wa kupata hata buku kwa siku ya leo ukizingatia nimedamka asubuhi kutafuta vibarua viwandani na kwingineko lakini hola nimezurura hadi nimeona ntakuja anguka njiani bure nimekimbilia geto kujilaza nisikilizie tumbo linavyounguruma taratibu ndo nimekumbuka ningekuwa jela muda huu nna uhakika ningekuwa nimeshatia chochote mdomoni.

Daaah maisha haya. Nisimalize maneno ndugu zanguni kwa mwenye kibarua chochote unikumbuke. mawasiliano 0711406248

NB: Kuhusu bando natumia tunnel vpn
Jipambanue na taarifa zako mfano
1.Level of education
2.Gender
3.Ujuzi wako
4.Uzoefu
5.Location
6.Sifa ya nyongeza ambayo inaweza kukuuza
 
Jipambanue na taarifa zako mfano
1.Level of education
2.Gender
3.Ujuzi wako
4.Uzoefu
5.Location
6.Sifa ya nyongeza ambayo inaweza kukuuza
Ongezea
7. Namba ya simu ya Mjumbe wa nyumba 10
8. Anaishi mtaa gani nyumba Namba ngapi
9. Namba za Wazazi wake
10. Namba ya ndugu/rafiki wa karibu
11. Jina lake kamili km lilivyosajiriwa NIDA
 
Wewe mtoto mdogo unaletewe tu mahitaji hujui yanatatafutwa vipi alafu unatoa ushauri mwepesi, Hali ya hiyo simu umeiona? Wewe hao kuku umewahi kufuga?.
Kama upo karibu na kwangu njoo nikuoneshe jinsi kuku anavyoweza kukufaidisha ukiona biashara yako haitiki ujue wewe bado haujamature.
 
Kama upo karibu na kwangu njoo nikuoneshe jinsi kuku anavyoweza kukufaidisha ukiona biashara yako haitiki ujue wewe bado haujamature.
Na ndio maana ameomba msaa msaidie, ila ushauri sijui uza simu ufanye biashara Ni ushauri wa uongo kabisa kwasababu hata Hali ya simu hujaiona
 
Na ndio maana ameomba msaa msaidie, ila ushauri sijui uza simu ufanye biashara Ni ushauri wa uongo kabisa kwasababu hata Hali ya simu hujaiona
Aweke simu bondi achukue mkopo au kama simu haitamaniki si bado anavyombo na nguo au?
 
Back
Top Bottom