Mods wanabadirisha badirisha heading tu Wewe Mama ulichukua zamu huko km Moderator acha umama huruma unabadirisha badirisha heading ili iweje unataka kufanya nini? Heading ya kwanza anasema Bora angekua Jela Muda huu angekua amekula means anataka chakula =mtego huo heading ya Pili mkaweka kwamba mwenye msaada wowote amsaidie mleta Mada na heading ya tatu mnasema mwenye kazi yoyote amsaidie mleta Mada, Mods mmetumwa au? Wewe Mama nyuma ya keyboard hapo unabadirisha heading kila mara umetumwa au umeagizwa?