Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 2,582
- 4,554
Mkuu mimi nitakushauri biashara ambayo haihitaji mtaji iko hivinataman sana japo biashara cna uzoef nazo nmezoea tu unaitiw dil unapg jion unachkua chako unasep
Tafuta wakala wa mitandao(wale wanaodeal na usajili wa laini) mwambie akutengenezee code za usajili tigo, voda, halo na airtel
Ukitoka hapo atakupa na laini za kuanzia ingia mtaani komaa hela ya kula utapata humohumo na mwisho wa mwezi hukosi chochote
Kwa kuanza utaona sio kazi ila baada ya miezi 4 matunda utayaona kikubwa uwe muaminifu na usiendekeze tamaa nakutakia utekelezaji mwema