Bonsipele69
JF-Expert Member
- Feb 19, 2023
- 364
- 915
- Thread starter
- #161
ndo niliyokuw naiomba hiyo kaziTafuta kazi hata ya kubeba mizigo sokoni acha kujirahisisha hivyo utaombaomba mpaka lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndo niliyokuw naiomba hiyo kaziTafuta kazi hata ya kubeba mizigo sokoni acha kujirahisisha hivyo utaombaomba mpaka lini?
Sio Gari kukwama tu Gari imekula pancha tajiri hataki kuchafuka akaita Vijana mpige kazi ya kubadiri tairi na Wewe ukiwemo kazi ikiisha unapewa 10 lako unarudi ghetto sio unakuja kujirahisisha JF Mabazazi kibao utakuja ufirweMbona umerudi geto mapema sana kabla cku haijaisha mkuu,ungeelea kuzuga kitaa unaweza kutana hata na gari imekwama ukasukuma ukaambulia hata buku mbili...
Elekea masoko yalipo ukajichanganye sasa we unategemea nini mcheti wako wa form 4 ukupe kazi?ndo niliyokuw naiomba hiyo kazi
Acha ujinga kama huwezi kumsaidia mwenzako pita kulee. Kama hujawahi kupitia changamoto kama ya jamaa huwezi kuelewa🗣️Sio Gari kukwama tu Gari imekula pancha tajiri hataki kuchafuka akaita Vijana mpige kazi ya kubadiri tairi na Wewe ukiwemo kazi ikiisha unapewa 10 lako unarudi ghetto sio unakuja kujirahisisha JF Mabazazi kibao utakuja ufirwe
Mkuu wamekupa chakula ili wakikufundisha uwasikilize kwahiyo usikimbie ushashiba kaa upate darsa la kujikwamua hela ya mtu inauma ukila uwe tayari kwa kila kituShukran kwa wote mlionisaidia kwa pesa na ata mawazo japo bado sjapata wa kuniunganisha na kibarua bado ila nipende tu kusema lengo la uzi huu haikuwa kuomba msaada wa pesa samahan kwa wote niliowakwaza
Kesho anarudi tena kuomba tena Hela utampa Wewe Baba yake? Kwanini hasemi ndugu zake walipo atoe hata Mawasiliano yao tuwahoji imekuaje?Acha ujinga kama huwezi kumsaidia mwenzako pita kulee. Kama hujawahi kupitia changamoto kama ya jamaa huwezi kuelewa🗣️
We jama utakua unajua na kuelewa maisha, watu wengine wa nadhani ni masikhara kumbe jama ana njaa kabisa.BGQ2E020CT0 Imethibitishwa. Tsh6,000.00 imetumwa kwa TIPS-TIGOPESA kwenye akaunti namba 255711406248 tarehe 26/7/24 saa 1:40 PM Ada Jumla Tsh180.00 (M-Pesa Ada Tsh180.00 + TOZO ya Serikali Tsh0.00). Salio lako la M-Pesa ni Tsh16,236.50.
Bado nipo siwez kimbiaMkuu wamekupa chakula ili wakikufundisha uwasikilize kwahiyo usikimbie ushashiba kaa upate darsa la kujikwamua hela ya mtu inauma ukila uwe tayari kwa kila kitu
Kaa kwa kutulia
Mwamba kaongea kwa huruma sana. Ngoja mishe ikitiki ntakuchek hata na buku la karanga.for real!Assalam Allaykum..
Mpka sasa sijala na sjajua siku inaisha vipi, sina pesa wala mpango wa kupata hata buku kwa siku ya leo ukizingatia nimedamka asubuhi kutafuta vibarua viwandani na kwingineko lakini hola nimezurura hadi nimeona ntakuja anguka njiani bure nimekimbilia geto kujilaza nisikilizie tumbo linavyounguruma taratibu ndo nimekumbuka ningekuwa jela muda huu nna uhakika ningekuwa nimeshatia chochote mdomoni... Daaah maisha haya... Nisimalize maneno ndugu zanguni kwa mwenye kibarua chochote unikumbuke. mawasiliano 0711406248
NB:Kuhusu bando natumia tunnel vpn
Jamaa kaniandama hadi najiskia vbyMkuu wamekupa chakula ili wakikufundisha uwasikilize kwahiyo usikimbie ushashiba kaa upate darsa la kujikwamua hela ya mtu inauma ukila uwe tayari kwa kila kitu
Kaa kwa kutulia
Kama unamchongo wa kibarua chcht itapendeza zaidMwamba kaongea kwa huruma sana. Ngoja mishe ikitiki ntakuchek hata na buku la karanga.for real!
Mkuu post yako imenikumbusha mbali sana hadi mchozi umenitoka kama upo serious pambana tu utapata njiaBado nipo siwez kimbia
Inaweza kuwa kweli hii jf wazushi wengi sana tuJamaa kaniandama hadi najiskia vby
Kama unahitaji kibarua kweli nenda pale buguruni kiwanda cha unga cha Bhakressa kile kipo pale Tazara, jioni saa mbili uanze kazi.Shukran kwa wote mlionisaidia kwa pesa na ata mawazo japo bado sjapata wa kuniunganisha na kibarua bado ila nipende tu kusema lengo la uzi huu haikuwa kuomba msaada wa pesa samahan kwa wote niliowakwaza
Yani hawa motivesheni spika wanafanya biashara ionekane kama kunawaBiashara siyo rahisi hivyo Kama unavyofikiria
Hawa watu wamegundua kwamba ukiingia JF unapata Pesa JF kuna watu wasiojielewa washaisoma JF ilivyo kwa Muda kwa hio anajua nikija na Gia fulani nikaweka Namba wadau wataweka Hela na umekua ni Mchezo, sijui unanielewa? Na humu watu walivyochotwa Akili wanajaza Hela tu stupid all of you ambao mmeweka Hela ni wajinga mnaweka Hela kabla ya kuhoji eti kisa mtu katiatia huruma?Nimependa tu wadau walivyo na ushirikiano humu na walivyo serious binafsi nimeguswa na watoaji kwa moyo wao Mungu awaongezee
Na kuhusu huyo mchangiwaji kama kweli anadhihaki watu kama unavyosema ataishi kuwa omba omba milele kwani kuwa omba omba hakujawahi kuwa ni sifa au ni mtaji kuwa atakuwa tajiri
Watu mna masimango eeehKazi zipo nyingi tatizo tunabagua kazi, nenda kwa mama ntilie alie katibu na hapo ulipo, msaidie kuosha vyombo utapata ata ukoko. Tuache tabia za kuomba omba hela.
Omba kazi.
nataman sana japo biashara cna uzoef nazo nmezoea tu unaitiw dil unapg jion unachkua chako unasepMkuu post yako imenikumbusha mbali sana hadi mchozi umenitoka kama upo serious pambana tu utapata njia
hasa tafuta kibiashara acha kutafuta kibarua ukishika kibiashara ukakizoea huwezi kunyanyasika na pesa itakayo mfukoni kwa mtu