Ndugu zangu, kwa mwenye kibarua chochote unikumbuke

Ndugu zangu, kwa mwenye kibarua chochote unikumbuke

Kama unamchongo wa kibarua chcht itapendeza zaid
Niko Nzega ndani ndani huku from Chuga bado najitafuta ila usiwaze jombaa. Nishapitia ulipo sasa hiv. Najua vile life iko. Ila kikubwa pia usikate tamaa. Umenikumbusha kipnd cha msoto mkali.. ila bado nilikuwa na Cheka kumbe moyoni ni huzuni mitikasi wala deals hakuna. Imagine hata deal ya kupiga tofali nilikosa asee. Maisha,maisha ni fumbo kubwa. Jitie moyo mzeya. Hufi mkuu
 
shukran sana jombaa
 
Wewe acha kujifanya mtu yule yule kwenye muonekano mwingine acheni ujinga vijana fanyeni kazi msipende Pesa za kitonga Chuga mwenzio Jana kafirwa Jana kwa kunywa bia za bure fanya kazi kijana acha kupenda mseleleko alafu ulivyo bwege unatumia majina ya kike?
Kama anataka starehe za bure akifirwa ni sawa.
Jamaa kaomba msaada walioguswa wamemsaidia kama anatuongopea hio ni juu yake. Watu wametoa kama sadaka maana wanaelewa hio situation anayopitia jamaa.
Kama kuna mtu anafikiria kumlawiti mtu kisa 5000 huyo mtu maskini wa fikra sana.
Kama anaibia watu mwache aibe ila haya masimango mazito kisa afu 5 afu 3 yamepitiliza wakuu
 
Hawa watu wamegundua kwamba ukiingia JF unapata Pesa JF kuna watu wasiojielewa washaisoma JF ilivyo kwa Muda kwa hio anajua nikija na Gia fulani nikaweka Namba wadau wataweka Hela na umekua ni Mchezo, sijui unanielewa? Na humu watu walivyochotwa Akili wanajaza Hela tu stupid all of you ambao mmeweka Hela ni wajinga mnaweka Hela kabla ya kuhoji eti kisa mtu katiatia huruma?
Hahahh haso za life mkuu, wengine washapitia hizo haso kwaiyo anauvaa uhusika

Binafsi kipindi nimeingia dar miaka hiyo nilipigwa sana na watia huruma hadi wamenikomaza asaiv mtu hata afe namuangalia nikiona kakata moto kweli ndio natoa msaada
 
Mkuu post yako imenikumbusha mbali sana hadi mchozi umenitoka kama upo serious pambana tu utapata njia

hasa tafuta kibiashara acha kutafuta kibarua ukishika kibiashara ukakizoea huwezi kunyanyasika na pesa itakayo mfukoni kwa mtu
Ili kupata mtaji anapasw kukubali kushuka afanye hata vibarua. Ila kuna wkat hat vibarua vinakususa. But ipo siku tuu. Apambane . Ila mkuu tunamtoaje hapo tutani?
 
Kama anataka starehe za bure akifirwa ni sawa.
Jamaa kaomba msaada walioguswa wamemsaidia kama anatuongopea hio ni juu yake. Watu wametoa kama sadaka maana wanaelewa hio situation anayopitia jamaa.
Kama kuna mtu anafikiria kumlawiti mtu kisa 5000 huyo mtu maskini wa fikra sana.
Kama anaibia watu mwache aibe ila haya masimango mazito kisa afu 5 afu 3 yamepitiliza wakuu
Wewe nawe hujielewi kwa hio wale wadau wa Ile Hela tuma kwenye Namba hii wapo sahihi? Unataka kutuaminisha hivyo maana ndicho kinachofanyika hapa bila Wewe kujua unachofanya katika mtazamo mwingine Wewe Mama huruma umechotwa akili ngoja kuna kitu nitakuonyesha maana naona umegusa kitu ngoja nikufungue UBONGO wako uliofungwa
 
Ili kupata mtaji anapasw kukubali kushuka afanye hata vibarua. Ila kuna wkat hat vibarua vinakususa. But ipo siku tuu. Apambane . Ila mkuu tunamtoaje hapo tutani?
Apite kwenye tanuri la moto akitoka atakuwa kakomaa

Mpe muongozo mkuu watoa vibarua cku izi wanalinga hatari ukienda hizo site wakuta rundo la watu waomba vibarua kama wewe
 
Wewe nawe hujielewi kwa hio wale wadau wa Ile Hela tuma kwenye Namba hii wapo sahihi? Unataka kutuaminisha hivyo maana ndicho kinachofanyika hapa bila Wewe kujua unachofanya katika mtazamo mwingine Wewe Mama huruma umechotwa akili ngoja kuna kitu nitakuonyesha maana naona umegusa kitu ngoja nikufungue UBONGO wako uliofungwa
Mambo ya tuma kwa namba hii yanakujaje mkuu?
Akituchota akili kwa afu 5 sio kesi mzee! Mchane tu azidi kupambana afu 3 afu 5 nayo kitu cha kusimangana???!! Sema ukute mwenzetu we wakishua hujui msoto ndo mana unashangaa na unaona kila mtu tapeli
 
Kesho anarudi tena kuomba tena Hela utampa Wewe Baba yake? Kwanini hasemi ndugu zake walipo atoe hata Mawasiliano yao tuwahoji imekuaje?
Bro plz acha maisha sio lelemama , unaweza hata ukalala njaa au ukafungwa kwa sh 20000 tu, uko kwenye kijiji aliko zaliwa baba yako na ndugu wote wapo, acha maisha hivo hivo.
 
Kesho anarudi tena kuomba tena Hela utampa Wewe Baba yake? Kwanini hasemi ndugu zake walipo atoe hata Mawasiliano yao tuwahoji imekuaje?
Kwani msaada ni lazima!?, wwe kama umechoka kumsaidia, kuna wengine wanapenda kumsaidia, na wala kijana wa watu hajamlazimisha mtu kumchangia,yeye kaleta maombi yake tu,so the ball is in your hands bro! Wakati sisi tunapanga,na Mungu nae anapanga yake vile vile usisahau hilo!!
 
Back
Top Bottom