Ndugu zangu, kwa mwenye kibarua chochote unikumbuke

Nisimalize maneno ndugu zanguni kwa mwenye kibarua chochote unikumbuke. mawasiliano 0711406248
NB:Kuhusu bando natumia tunnel vpn
Sarafina Barton umekuja kwa njia nyingine? Hii Namba nyingine account nyingine
hahaha natumia vpn
Unazingua

Mtukane Bibi Chura udakwe ukatupwe msituni huku ukirudi Salama unalipwa na utaambiwa ulifanya drama ukajiteka fanya hivyo changamkia fursa hio Wewe Sarafina Barton natambua kwa sasa upo Moshi

Uzi wako wa mwanzo Mods walipoona tu waliufuta haraka sana wakijua hapa kuna wadau wanaenda kupigwa na kweli ikawa hivyo Namba uliyoweka imechokonolewa ukipiga inajikata yenyewe Wizi wa kimtandao huu Ile Pesa tuma kwenye Namba hii

Active Payge Bridger mpo YinYang na Wewe umeipa nguvu hii kitu? Maxence Melo inamaana hamuona kinachofanyika hapa?
 
umefananisha mkuu
 
umepiga ukaona hvo?
 
Pambana mkuu siku uje uwasaidie na wengine leo umesaidiwa wewe ni jambo la kushukuru

Nakushauri ukipata mtu wa kukushika mkono jitumikishe hata kama ni kwa kujitolea bado naamini watu hao humu wapo
Huyu Jamaa atakuja tena leo sio mwisho wake leo atachukua next time anakuja na ID nyingine kuomba msaada the same person on another ID ushanielewa?
 
Sarafina Barton umekuja kwa njia nyingine? Hii Namba nyingine account nyingine
Unazingua

Mtukane Bibi Chura udakwe ukatupwe msituni huku ukirudi Salama unalipwa na utaambiwa ulifanya drama ukajiteka fanya hivyo changamkia fursa hio Wewe Sarafina Barton natambua kwa sasa upo Moshi

Uzi wako wa mwanzo Mods walipoona tu waliufuta haraka sana wakijua hapa kuna wadau wanaenda kupigwa na kweli ikawa hivyo Namba uliyoweka imechokonolewa ukipiga inajikata yenyewe Wizi wa kimtandao huu Ile Pesa tuma kwenye Namba hii

Active Payge Bridger mpo YinYang na Wewe umeipa nguvu hii kitu? Maxence Melo inamaana hamuona kinachofanyika hapa?
pia mm nimeomba kibarua sio pesa
Huyu Jamaa atakuja tena leo sio mwisho wake leo atachukua next time anakuja na ID nyingine kuomba msaada
sijaomba pesa mm nimeomba kibarua ni vile tu watu wameguswa
 
Njoo Mtibwa sugar kazi zipo za kutosha acha kulia lia mtoto wa kiume m
aisha popote,

Amka acha kutia huruma
 
Back
Top Bottom