Bonsipele69
JF-Expert Member
- Feb 19, 2023
- 364
- 915
- Thread starter
- #101
Nilikuwa nakesha kwenye ule uzi wa ajira za polis sasa baada ya kupigwa chini ndo matumain yameishaUkijiona inafikia mpaka unakosa kula, basi wakati ambao hauna matatizo, jipangie siku japo moja kwa wiki uwe unafunga.
Kukosa kula, ni system ya maisha yako ina "auto flush" sumu mwilini mwako. Jambo la kawaida hilo, unaweza kuwa hata una pesa lakini ukashindwa kula. Ondowa hofu. Kunywa maji mengi.