Ndugu zangu, kwa mwenye kibarua chochote unikumbuke

Ndugu zangu, kwa mwenye kibarua chochote unikumbuke

Pole mkuu. Nipe na. yako ya Airtel money nikurushie walau jero. Ila mm niko huku umasaini ndani ndani huku nasubiria ugali (Ngurumaa') na maziwa ya mgando(Ku'le") -karibu sana.
Siku hizi viwango vya gharama za kutuma hela viko sawa,vinalingana hata kama unatuma pesa mitandao mingine kwahiyo kama una nia ya kumsaidia mrushie kwenye namba hiyohiyo muhimu muulize kasajili tigopesa kwa jina gani.
 
Assalam Allaykum..
Mpka sasa sijala na sjajua siku inaisha vipi, sina pesa wala mpango wa kupata hata buku kwa siku ya leo ukizingatia nimedamka asubuhi kutafuta vibarua viwandani na kwingineko lakini hola nimezurura hadi nimeona ntakuja anguka njiani bure nimekimbilia geto kujilaza nisikilizie tumbo linavyounguruma taratibu ndo nimekumbuka ningekuwa jela muda huu nna uhakika ningekuwa nimeshatia chochote mdomoni... Daaah maisha haya... Nisimalize maneno ndugu zanguni kwa mwenye kibarua chochote unikumbuke. mawasiliano 0711406248
NB:Kuhusu bando natumia tunnel vpn
Ungekuwa ushakula ,,ila ujue utakuwa umekula nini zaidi ya kipondo kitakatifu jela pasikie tu halafu hata kutamani
 
Ukijiona inafikia mpaka unakosa kula, basi wakati ambao hauna matatizo, jipangie siku japo moja kwa wiki uwe unafunga.

Kukosa kula, ni system ya maisha yako ina "auto flush" sumu mwilini mwako. Jambo la kawaida hilo, unaweza kuwa hata una pesa lakini ukashindwa kula. Ondowa hofu. Kunywa maji mengi.
 
Kumbe!! shukran kwa hilo
 
Back
Top Bottom