Ndugu zangu, kwa mwenye kibarua chochote unikumbuke

Home boy kabisa few days kama hali bado itaendelea kuwa tight naweza kukutumia Mteni hivi Leo niko hovyo. Alafu tutaona masuala mengine.
Sio mbaya sana Mungu anabariki ila nikipata ishu ya uhakika itakuwa gud zaid
 
Kama 80000 ni ndogo angeweka simu bondi alaf angekopa au angeazima ata 500,000kutoka kwa watu wa karibu alaf afanye biashara.
KWENYE MATATIZO UNATAKIWA UFIKIRI NJE YA BOX MAANA HAPO NDIPO.MAFANIKIO YANAPOKUJA
Hivi munaondikaga hivi hua watoto wa GSM au mnajitoa akili tu.

Nani unamuazima 500,000 mtaani alafu unaandika kabisa kiwaza nje ya Box.🚮🚮
 
Jamaa ushauri wake unamake sense however
Kaongea kinadharia zaidi, mikopo ya mitandaoni unakuta ni kampuni moja inatumia majina tofauti kwaiyo katika app 5 utazojaribu unaweza kupewa sehemu moja tu na wanaanza kwa kima cha chini ambacho ni elfu 5 mpak 20 hivi. Hauwezi kupata laki 3 uko.

Uko Karume ukiwahi afrajiri mtiti wake sio wa kitoto. Jamaa kaandika kinadharia zaidi nina uhakika hata yeye mwenyewe hajawahi kufanya alivhokiandika
 
Mm mkuu nimechukua temeria kupitia senteyo elfu 60 ila hiyo riba yake unawez kulia. Mana ukichukua elfu 13 tu unalipa elfu 20. Serikali iingilie kati
 
Mm mkuu nimechukua temeria kupitia senteyo elfu 60 ila hiyo riba yake unawez kulia. Mana ukichukua elfu 13 tu unalipa elfu 20. Serikali iingilie kati
Kwenye riba inaumiza sana iyo mikopo. Nilikua nachukua zamani kipindi kile cha tala, tangu tala walovyofunga biashara zao bongo sijawahi kujishughulisha nayo iyo mikopo
 
Hivi munaondikaga hivi hua watoto wa GSM au mnajitoa akili tu.

Nani unamuazima 500,000 mtaani alafu unaandika kabisa kiwaza nje ya Box.🚮🚮
Hawa ni watoto wa GSm Na Bharesa 🤣🤣 hawauelewi mtaa wala msoto! Unakuta circle yako ya ndugu na jamaa hamna wa kukupa hio laki 5 wala mia5
 
Ukiwa na aibu utaabika kweli Ila ukiitoa aibu kwa siku 20k ukosi Ila siwezi omba ela ya kula Kama mzima siumwi popote.toa aibu upate pesa ya kujikimu kila siku kwa Uhuru wako acha na vibarua
 
Ukiwa na aibu utaabika kweli Ila ukiitoa aibu kwa siku 20k ukosi Ila siwezi omba ela ya kula Kama mzima siumwi popote.toa aibu upate pesa ya kujikimu kila siku kwa Uhuru wako acha na vibarua
kivipi
 
Naomba kazi mkuu
 
Nikweli mzeee utapata harakati mambo ni moto ila ongeza Sala juhudi nautafutaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…