Ndugu zangu, kwa mwenye kibarua chochote unikumbuke

Natumaini anatumia simu ya kijanja yenye bei ya kuanzia lakhi 2 sasa akiuza hiyo simu hauoni atapata mtaji mzuri wa kufanyia biashara
Kwa maisha ya sasa usimshangae mtu kusema hana hela eti kisa anasimu, simu tena janja ina umuhumu sana ndugu! Kuna siku utamshangaa mtu nadhifu na mtanashati anaomba umsaidie japo 1000 ya kununua dawa! Jinsi ulivyobarikiwa wewe ni tofauti na wengine walivyo
 


Kweli mkuu umeongea point Sana waswahili bado hatupo na uelewa kuhusu maisha .
 
Pia ingekua ushaliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…