Usifiche shida mkuu utakuja kufa mwenyewe chumbaniwanaumme kamiri ni pale unapo pambana na changamoto za maisha yako bila kujitanganza au kuonyesha udhaifu wako.......wanaume tunapitia mengi zaidi ya hayo ila tunaficha.
Sio kila shida ni za kubwabwaja mkuu, lazima utunze utu wako some time.Usifiche shida mkuu utakuja kufa mwenyewe chumbani
Watoto wa siku hizi wako bize na mitandao tu, anakuja kuomba laki tatu Jf inamaanisha hana ndugu, majirani, familia kazika wote kabaki pekeake, madereva wenzie je???? Au hana hata kitu cha kuuza ndani ili akirekebishe "chanzo cha mapato".. Angeanza na hiyo simu aliandikia uzi hapa.Katika maisha usikubali adui wakk ajue hali yako ya maisha, katika vita mkiona chakula kina wakaribia kuwaishia kula kidogo kingine utupe jalalani ili madui wako wavita wajue kwamba huyu jama iko vizuri anachakula cha kutosha mpaka kingine anatupa jalalani....hizo ni mbinu za vita sio kuharibu, mkuu komaa tu mIsha sio mepesi kihivo.
Wew huwa unatatua shida zako bila kutegemea wengne? Maisha watu hatulingani, na changamoto tunazopitia zinatofautiana, uwe mwelewa!wanaumme kamiri ni pale unapo pambana na changamoto za maisha yako bila kujitanganza au kuonyesha udhaifu wako.......wanaume tunapitia mengi zaidi ya hayo ila tunaficha.
Mficha uchi hazai, kila mtu ana namna yake yakukabiliana na mamboHuyu sio wa dar ni wakutokea mikoani mkuu wa dar tunajua kugicha sili zetu za uchumi.
Huyo ni Dr manyau nyau kazini 😹😹Washirikishe ndugu zako,majirani,serikali,viongozi wa dini na jamii kwa ujumla karibu nawe,theni ndo uje kwetu,vinginevyo matapeli yamekuwa mengi mno.
😹😹😹 January ishafika watu wana force mambo no mara waha 🤣Huyo ninamashaka hata kama anamiliki hiyo bajaji.. Nadhani anatuibia viingilio
Hiyo ya bajaji sio ya kuficha hasa ukizingatia humu hatujuani mpe tu solution nini cha kufanya kama huwezi muazima pesaSio kila shida ni za kubwabwaja mkuu, lazima utunze utu wako some time.
Mtu kajiunga jf 2014 una mwita mtoto?Watoto wa siku hizi wako bize na mitandao tu, anakuja kuomba laki tatu Jf inamaanisha hana ndugu, majirani, familia kazika wote kabaki pekeake, madereva wenzie je???? Au hana hata kitu cha kuuza ndani ili akirekebishe "chanzo cha mapato".. Angeanza na hiyo simu aliandikia uzi hapa.
Kaweka namba zake za simu zenye majina yake sio anonymous tena, tena hapa jf anaomba msaada sio ushauri, ila akajusahau kwamba jf haina forum ya bima ya vyombo vya moto au mikopo ya dhalura tuna ushauri na mawazo, kutokana na uzoefu wetu.mbalimbali.Hiyo ya bajaji sio ya kuficha hasa ukizingatia humu hatujuani mpe tu solution nini cha kufanya kama huwezi muazima pesa
Ila sio poa kwa wanachokifanya ,mtu mpaka kuja kuomba msaada humu ni kwamba ka kwama kweli.JF ukitaka ugomvi na member anza kuomba pesa..!!
Kuna uzi wa kuwachangia mods na pipo zimegoma hadi wakaanza kutupiana shit sembuse wewe unayetaka pesa ya kutengeneza bajaji yako?
Hapa jiandae kula vichambo, stress za ada zote watakumalizia wewe 😹😹😹
Mkuu.. Wewe ukiwa na shida na hela ya kutengenezea chombo chako cha barabarani utakuja kuomba huku???Mtu kajiunga jf 2014 una mwita mtoto?
Kila mtu ana namna yake ya kukabiliana na changamoto, maisha yana mbilinge nyingi sana , ukiwa unaona umeyapatia wewe , usione walio feli ni wajinga
Ni rahisi sana kupata msaada kwa watu baki,kuliko hao ndugu jamaa na marafi kwa maisha yetu wamatumbi.
Alafu hizo kauli za "Ukiona wewe umeyapatia, ukiona wewe umejipata" hua zinaleta matabaka yasiyo na kichwa wala miguu.. Nani kajipata?????? Ilikuaje akajipata? kwamba alijipoteza au???Mtu kajiunga jf 2014 una mwita mtoto?
Kila mtu ana namna yake ya kukabiliana na changamoto, maisha yana mbilinge nyingi sana , ukiwa unaona umeyapatia wewe , usione walio feli ni wajinga
Ni rahisi sana kupata msaada kwa watu baki,kuliko hao ndugu jamaa na marafi kwa maisha yetu wamatumbi.
hapa ndo utajua jf hakuna cha undugu! Labda uwe manzi!Washirikishe ndugu zako,majirani,serikali,viongozi wa dini na jamii kwa ujumla karibu nawe,theni ndo uje kwetu,vinginevyo matapeli yamekuwa mengi mno.
BRO MIN MEE UNA UMRI GANI? UNAKIPAWA KIKUBWA SANA CHA KUONA JAMBO NA KULIPIMA, HII ID NI YA KITAMBO SANA NMEIKUTA HUMU MIAKA CHA KUSHANGAZA WATU WANABEZA KWA KWELI MAISHA HAYA, INA MAANA SAKATA LA MKUBWA FELLA HALIJA TUSAIDIA TU BADO, HUYU MTU ALITAKIWA ASAIDIWE SI KUMKEJELI HAWA NI MEMBER WANAOPASWA KUHESHIMIWA SANA ILA HUMU NA MASHAKA SANA WATOTO WENGI HII NDO CHANGAMOTO ILIOPO HUMUMtu kajiunga jf 2014 una mwita mtoto?
Kila mtu ana namna yake ya kukabiliana na changamoto, maisha yana mbilinge nyingi sana , ukiwa unaona umeyapatia wewe , usione walio feli ni wajinga
Ni rahisi sana kupata msaada kwa watu baki,kuliko hao ndugu jamaa na marafi kwa maisha yetu wamatumbi.
Nitakuja kuomba ndio , pale inapobidi kufanya hivyo.Mkuu.. Wewe ukiwa na shida na hela ya kutengenezea chombo chako cha barabarani utakuja kuomba huku???
Unashida ya kifamilia imekutinga vibaya mno, utakuja juomba msaada huku???
Kwakifupi shida yoyote ya kipesa, utakuja kuomba msaada huku???
Naomba unijibu kwa uaminifu kabisa.
UKO SAWA WASIPO KUSAIDIA WAO TUTATOA SISI.Nitakuja kuomba ndio , pale inapobidi kufanya hivyo.
Kwanini nipate shida na watu wenye moyo wa kusaidia wapo?