Ndugu zangu, naomba msaada wenu – tegemeo langu la kipato limesimama

Status
Not open for further replies.
Sisi wengine Huwa linapo kuja swala la kusaidia/ kutoa Huwa tunatoa kilicho ndani ya uwezo wangu muda huo bila kuhoji SANAA..

Aweke namba ya simu Mimi ntamchangia kadri MUNGU atakavyo nielekeza/ atakacho nijalia so naomba afanye ivyo iwe kweli au UONGO litakua jambo la yeye na MUNGU wake hicho ndicho KINAITWA Faith.

Aya bila kuchelewa mbio mbio weka namba tuweze kukupa support kwa watakao/ wanao guswa na hii CHANGAMOTO Yako. Nasubir namba.
 
Aweke namba unajua SISI WENGINE Huwa hatuhoji sana linapo kuja swala la kusaidia kutoa Huwa tunatoa kilicho ndani ya uwezo na Huwa tunatoa bila kukumbuka kama tulitoa/ na hatungoji shukrani Wala malipo.

Kipindii Fulani mtoto wa ba mkubwa alikua anampiga vizinga mzee wake let's say anataka counter book 10 mzee wake anaenda kununua...dogo ikabidi amwambie mzee wake mzee πŸ˜‚ πŸ˜‚ wewe nikiomba makaunta naomba pesa usiniletee ma kounta...

NB. Aweke namba watu wenye mioyo safi wapo wengi sana tuu wata msaidia kwanza nilikua na mpango wa kutoa sadaka yangu ya shukrani kwa MUNGU kwa AJILI ya mambo yangu kadhaa na sikujua niipeleke wapii so aweke namba yake.
 
Sio kwamba mkienda kanisani mtachangiwa au nyinyi mnaombewa halafu mchungaji anachangiwa
 
Safi sana dr
 
Ila hayo siyo maisha! Kukosa hata asset ya thamani hiyo kwa ajili ya emergency!!

What if ingekuwa ndiyo umepata ajali? Chombo kikawa hoi na wewe hoi? Bill za MOI ungetoboa?

Ushauri:Kwa vile wewe buheri wa afya tafuta bajaji au boda ya mtu uendeshe huku ukiweka akiba kwa ajili ya chombo chako!!

Huwezi kukosa kama ulikuwa kijiweni na washkaji.
 
Kuna jamaa aliandika uzii KAMBA ANA MIAKA 32 NA PRESSURE AMEPIMA IPO JUU SANAAAAAA... NIKITAKA KUCHANGIA KAMA MDAU WA AFYA MWANDAMIZII SENIOR ILA MUDA ULE NILIKUA BARABARA KWENYE PILIKA PILIKA SIKUA NA UTULIVU.


Nimekumbuka hili jambo mwaka majuzi mwezii wa pili mwanzoni nilipata ajali mbaya kugongwa na gari nikiwa abiria kwenye BODA BODA nikavunjika mguu mara mbili ankle mguuni na kwenye ugoko mfupa mkubwa.

Mke akiwa mjamzito binafsi nilipo kua HOSPITALI nikipimwa pressure muda woteeeeeee ilikua abnormal mpaka madaktari wakasema ntakua naumwa pressure thanks LORD nilitumia kama 4m mpaka now natembea kama zamani na huwezi kunijua almost mwaka mzima shughuli zilisimama.

Aiseeee DUNIA HII acha tuu NASHANGAA mtu kama saidi fella KULIA kuomba michango watanzania wengi hali zetu ni duni tia maji tia majii

NB. Aweke number tutakao guswa tutafanya kadri tutakavyo jaliwa hayo ndio maoni yangu kwenye hii sagaa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…