Ndugu zangu ninarogwa sana. Mniombee pia hata kama mbinu za asili mnazo mnisaidie kisirisiri upo mlipo

inategemea na nani ulimkuta kwenye game ya kuuza karanga
 
"Usimuache mwanamke mchawi akaishi"Maagizo ya Musa akipewa na Mungu kitabu Cha kutoka!!

Usilale bila kumuomba mungu hata ukishtuka usiku was manane nenda kamwambie unavojisikia!!

Nasikia maji chumvi yanasaidia hasa chumvi ya mawe ukiiogea jaribu!!
 
Umeota ndoto mbaya kutokana na fikra zako mbaya mwenyewe...dreams are a product of the mind...haujarogwa na usimsingizie mtu...if it is so serious tafuta wataalamu wa afya ya akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…