Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Juzi nimelala mchana, alafu nikaota alimanusura nigongwe na pikipipki. Pikiki ilifunga breki ikiwa inaendeshwa na mzee wa makamu. Ilifunga breki alafu yule mzee akaniuliza huoni?
Muda mwingi nahisi kukata tamaa na kuona kama nahitaji kufa.
Kumbe hata kuuza kangala tu mtu unarogwa?
Muda mwingi nahisi kukata tamaa na kuona kama nahitaji kufa.
Kumbe hata kuuza kangala tu mtu unarogwa?