Ndugu zangu ninarogwa sana. Mniombee pia hata kama mbinu za asili mnazo mnisaidie kisirisiri upo mlipo

D Kangala ni pombe ya kienyeji inayotengenezwa Kwa kutumia asali inayotengenezwa na nyuki!!
 
Hii sikukuu mmeshalewa mnakuja kumalizia ulevi wenu humu.
 
Punguza unywaji wa kangara!

Sifa kuu za pombe aina ya kangara;

•✓Inapunguza nguvu za kiume!

•✓Inapunguza, ama kuondoa kabisa uwezo wa kufikiri!
 
Hiv watu wenye hela huwa hawalogwi? Naona tunalogwa sisi.
 
Mi napenda kukuombea. Ila sijawahi kumuombea mtu. Sijui nianze vipi.
I will think of something.
Lakini usually mtu anaombewa kwa jina lake halisi.Lakini in this case nadhani 'Muuza Kangala' inatosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…