Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahindi, wachina na waarabu hawqrogi?Sijataja wazungu Mimi.. kama watu walioendelea duniani ni wazungu tu Bac Sina msaada na elimu yako
Ungempa na ile pay list asiende mikono mitupuNenda kwa kuhani musa hutajuta.
Hii sikukuu mmeshalewa mnakuja kumalizia ulevi wenu humu.Juzi nimelala mchana, alafu nikaota alimanusura nigongwe na pikipipki. Pikiki ilifunga breki ikiwa inaendeshwa na mzee wa makamu. Ilifunga breki alafu yule mzee akaniuliza huoni?
Muda mwingi nahisi kukata tamaa na kuona kama nahitaji kufa.
Kumbe hata kuuza kangala tu mtu unarogwa?
Kangala huku Uheheni, ni pombe inayotengenezwa Kwa kutumia pumba na sukari au asali.Ila Kangala ni nini? Kangala imesound kama ni typo error ya karanga
Stupid person keep silentHii sikukuu mmeshalewa mnakuja kumalizia ulevi wenu humu.
Mbona nilipoota ilikuwa mchanaUsiwe unakula ugali mgumu usiku
Asante kwa ushauriKaoge chumvi mkuu utapona
Punguza unywaji wa kangara!Juzi nimelala mchana, alafu nikaota alimanusura nigongwe na pikipipki. Pikiki ilifunga breki ikiwa inaendeshwa na mzee wa makamu. Ilifunga breki alafu yule mzee akaniuliza huoni?
Muda mwingi nahisi kukata tamaa na kuona kama nahitaji kufa.
Kumbe hata kuuza kangala tu mtu unarogwa?
Ni pombe ya kienyeji.Ndio matatizo ya kuishi Njiro.Ungekuwa wa Ngarenaro ungeijua.Ila Kangala ni nini? Kangala imesound kama ni typo error ya karanga
Hiv watu wenye hela huwa hawalogwi? Naona tunalogwa sisi.Juzi nimelala mchana, alafu nikaota alimanusura nigongwe na pikipipki. Pikiki ilifunga breki ikiwa inaendeshwa na mzee wa makamu. Ilifunga breki alafu yule mzee akaniuliza huoni?
Muda mwingi nahisi kukata tamaa na kuona kama nahitaji kufa.
Kumbe hata kuuza kangala tu mtu unarogwa?
Au aje kwangu nimtoe upepo huoNenda kwa kuhani musa hutajuta.