Ndugu zangu, nipeni neno la faraja

Ndugu zangu, nipeni neno la faraja

Ndugu zangu, nimekuwa kwenye stress za muda mrefu kiasi cha kupata panick attacks mara kwa. Nimekuwa mtu wa kunywa antidepressants sasa. Naombeni mnipe neno la faraja angalau nione kuwa dunia bado ina watu wema.
Mbona stress zinapotea tu ukitaka ila ukiwa unapenda kukaa nazo utakufa na kihoro, mtu anafiwa na mwenza baada ya muda maisha yanaendelea
 
Ndugu zangu, nimekuwa kwenye stress za muda mrefu kiasi cha kupata panick attacks mara kwa. Nimekuwa mtu wa kunywa antidepressants sasa. Naombeni mnipe neno la faraja angalau nione kuwa dunia bado ina watu wema.
Kwanza lazima tujue huo msongo unatokana na nini?

Umeachwa? Changamoto za kiuchumi? Matatizo ya kiafya? Kufiwa na umpendae?

Tuambie then we will find a way forward..
 
Pole sana dada yangu.. Matatizo ni sehemu ya maisha ya kila binadamu hapa duniani, usije ukajiona kama vile wewe pekee wapitia hayo, hapana.

Usiziendekeze stress yapokee matatizo yako, kubaliana nayo tu then tafuta namna ya kuyatatua. Ongea na watu unaowaamini, kaa na watu wanaokupa faraja usiwe mtu wa kukaa pekeako mda mwingi.

I pray for you [emoji120]
 
1. Muombe Mungu mara kwa mara. 2. Fanya kazi kwa bidii pamoja na mazoezi 3. Acha kula vyakula vyovyote vyenye sumu ikiwamo alcohol and sugar or carbonated drinks. 4. Drink "excessive" water and don't forget ku-blend matunda aina ya apple. Kunywa sana juice yake
 
Kugundua tu una stress ni hatua ya kwanza kwenye tiba ya tatizo lako. Ingia hatua ya pili ya kutambua tatizo linalokupa stress, na hatua ya tatu kutafuta namna ya kuondoa tatizo, hatua ya nne kutekwleza hatua ulizochukua bila kukata tamaa no matter what
 
Back
Top Bottom