Ndugu zangu, nipeni neno la faraja

Ndugu zangu, nipeni neno la faraja

Ndugu zangu, nimekuwa kwenye stress za muda mrefu kiasi cha kupata panick attacks mara kwa. Nimekuwa mtu wa kunywa antidepressants sasa.

Naombeni mnipe neno la faraja angalau nione kuwa dunia bado ina watu wema.
Naahidi kukutafuta PM kila mara nipatapo nafasi kukujulia hali
 
Ndugu zangu, nimekuwa kwenye stress za muda mrefu kiasi cha kupata panick attacks mara kwa. Nimekuwa mtu wa kunywa antidepressants sasa.

Naombeni mnipe neno la faraja angalau nione kuwa dunia bado ina watu wema.
Kwanza tuambie source la stress zako. Maana bila kujua hilo hatuwezi kukusaidia
 
Kwani jf siku hizi wameweka diclike button?
Ipo ndio.ukiihold hiyo button ya thanks for a second inakuja na machaguzi.👇
97B70B85-633D-42FD-B1F2-055CDFC2B1D2.jpeg
 
Back
Top Bottom