Cathy Diwani
Senior Member
- Feb 13, 2016
- 120
- 185
Mbona stress zinapotea tu ukitaka ila ukiwa unapenda kukaa nazo utakufa na kihoro, mtu anafiwa na mwenza baada ya muda maisha yanaendeleaNdugu zangu, nimekuwa kwenye stress za muda mrefu kiasi cha kupata panick attacks mara kwa. Nimekuwa mtu wa kunywa antidepressants sasa. Naombeni mnipe neno la faraja angalau nione kuwa dunia bado ina watu wema.
Kwanza lazima tujue huo msongo unatokana na nini?Ndugu zangu, nimekuwa kwenye stress za muda mrefu kiasi cha kupata panick attacks mara kwa. Nimekuwa mtu wa kunywa antidepressants sasa. Naombeni mnipe neno la faraja angalau nione kuwa dunia bado ina watu wema.
Ndugu zangu, nimekuwa kwenye stress za muda mrefu kiasi cha kupata panick attacks mara kwa. Nimekuwa mtu wa kunywa antidepressants sasa. Naombeni mnipe neno la faraja angalau nione kuwa dunia bado ina watu wema.
Huyu bado anajitambua ila anajiendekezaTatizo husika ni lipi linalosababisha hali hii? Pole sana.
Sababu ya kuwa hivyo ni ipi?Ndugu zangu, nimekuwa kwenye stress za muda mrefu kiasi cha kupata panick attacks mara kwa. Nimekuwa mtu wa kunywa antidepressants sasa. Naombeni mnipe neno la faraja angalau nione kuwa dunia bado ina watu wema.