tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Shida ilianzia wapi,yani hilo tatizoAnxiety disorder nimepigana nayo mwaka mzima ndugu yangu. Mwanzo nilianza kupata hali za kutokujiamini, nikawa naogopa vitu nisivyovijua, mwisho nikaanza kupata panick attacks, mwanzo nilihisi ni shambulio la moyo, ila madaktari walivyoona ule mfadhaiko, increased heart rate, kukosa pumzi na kutokutulia ndio wakaniambia tatizo ni stress. Ni hali za muda mchache ila ni ngumu, maana unaona kabisa hapa nakufa. Nimejitahidi kucope na hali ila panic hainiachi. Inanitishia kila mara kiasi nayo imekuwa sehemu ya stress.
KivurugeHuwa namwambia Wangari Maathai kuhusu hili jambo mara kwa mara..i hope atakuelewa akipita hapa 😂
Nilishaacha siku hiz am a gentleman 😁Kivuruge
JF sihami walaiKwani stress zenyewe zinasemaje maana hatuwezi kukusaidia bila kudili nazo
Hahaha anataka kutengeneza brand yake 😂😂Hakuna mtu alishawahi kupendwa kwa kuchukia kila kitu.yeye kila kitu ni dislike chaaa
Nimewahi kupitia hali hii in 2009.Anxiety disorder nimepigana nayo mwaka mzima ndugu yangu. Mwanzo nilianza kupata hali za kutokujiamini, nikawa naogopa vitu nisivyovijua, mwisho nikaanza kupata panick attacks, mwanzo nilihisi ni shambulio la moyo, ila madaktari walivyoona ule mfadhaiko, increased heart rate, kukosa pumzi na kutokutulia ndio wakaniambia tatizo ni stress. Ni hali za muda mchache ila ni ngumu, maana unaona kabisa hapa nakufa. Nimejitahidi kucope na hali ila panic hainiachi. Inanitishia kila mara kiasi nayo imekuwa sehemu ya stress.
Atakibomoa sasa hata hicho kibrand kidogo alichonacho.maana anakazi ya dislike tu hapingi kwa hoja.mtu akimuuliza sababu ya kudislike bado atadislike bila kutoa reason.agrrrHahaha anataka kutengeneza brand yake 😂😂
That's so encouragingPole sana dada yangu.. Matatizo ni sehemu ya maisha ya kila binadamu hapa duniani, usije ukajiona kama vile wewe pekee wapitia hayo, hapana.
Usiziendekeze stress yapokee matatizo yako, kubaliana nayo tu then tafuta namna ya kuyatatua. Ongea na watu unaowaamini, kaa na watu wanaokupa faraja usiwe mtu wa kukaa pekeako mda mwingi.
I pray for you [emoji120]
Bestyyyy pengine ana tatizo zaidi ya hiloKatakuwa kameachwa tu dunia kanaiona chungu.
Acha hizo Cathy.
Give yourself time to heal. Soon tu huyo jamaa utamuona boya na utajishangaa uliona nini kwake.
Kimalkia first class 🤗🤗There is nothing in this world that can trouble you as much as your own thoughts!!
Pole sana ; imewahi kunitokea miaka mi3 iliyopita kwakweli kidogo niandike wosia, ilinitokea baada ya kuwa depressed,ikanifanya nikapata anxiety disorder nilipigana vita vikuu mno niliwahi kuona maisha hayana maana maana ila Mungu ni mwema nilishinda japo ni ngumu sana kujishinda ila naamini utakua sawa itabaki story, vipindi kama hivyo vipo kwenye maisha na vinatupitia wengi sana!! tambua hauko peke yako mkuu
ShkamooBaharia kazini
Marhabaa...jambo?Shkamoo