Ndugu zangu nipeni ushauri kuhusu huyu binti

Kwakweli sijui km hayo ni magonjwa ya kurithi,ila bi dada anasumbuliwa na macho na kifua
 
Hivi viumbe havina shukrni
 
Shukrani kaka
 
Mnapenda kuchukulia mambo serious kimzaha mzaha , huyo mwanamke tayari ana matatizo ya kijenetiki ambayo likely yatajidhihirisha kwa watoto pia
Kuna wanawake sio wa kuzaa nao maana unaweza kutesa mpaka watoto mtakaozaa
Aiseee
 
Anakupenda ila wewe ndo Mbusilo 🤪
Muache binti wa watu akutane na wanaujua maana ya mahusiano. We njoo tuungane huku ku-comment JF
 
Kashamuwekea walakin mtoto wa watu.
Dhamiri, uvumilivu, na moyo anaopaswa kuwanao ili ampe amani mtoto wa watu huyu hana.
Katakuja kaghairi huko mbeleni wakati kashamzalisha ndo atakuja kumuua mtoto wa watu kabisa.
Hicho kichwa sikiamini kabisa dalili ya kumridhia mtoto wa watu siioni 🙅‍♂️
 
Acha kutisha watu ,ndo sio kifungo unaweza kuvunja kama hamuendani..Mnazni mabinti wa watu halafu mnawatelekeza.
Acha ubishi home boy

Usioe asiyekuwa bikra mzee utakuja kunishukuru baadae
 
Sijaelewa, ni bikra halafu siyo Malaya.
Aliyeelewa tafadhari.
 
Love win kama kweli unampenda mpambanie afya yake awe sawa kisha muoe 🧑‍🤝‍🧑
 
Acha kutisha watu ,ndo sio kifungo unaweza kuvunja kama hamuendani..Mnazni mabinti wa watu halafu mnawatelekeza.
Kwa sisi Wakatoliki hicho hakipo, ndoa haivunjwi kama mkataba na Baba Mwenye nyumba
 
Sawa mtalamu we
Hii nchi Raha sana🤣
 
Kama ulihakikisha bikra anayo, kwa nini haukuitoa?

Vipi kama akitokea mwanaume mwenzio akaitoa? Si utajuta sana.

Acha uzembe brooo!!! Itoe kwanza halafu hayo mambo ya miwani, sijui mvua yatafuata baadae
 
Shauri yake, atakutana na makina ngungungu atashangaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…