Ndugu zangu tusichoke kuichangia TV Imaan, kituo kizima kina watangazaji wanne

Wanamudu hio kazi au ? Sababu lingekuwa tatizo kama wangeshindwa kurusha hizo nondo ila kama umesema nondo zinarushwa basi vema huenda hata hao nao kwa kufanya kwao wanachofanya ndio kujitolea kwenyewe...

TV / Radio is a dying medium kipindi hiki cha Content on Demand inabidi wabadilike (sio wao tu bali na wengine) mambo yamebadilika....
 
Mohamed Yombe bado yupo?
 
Vilizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…