Ndugu zangu tusichoke kuichangia TV Imaan, kituo kizima kina watangazaji wanne

Umesemaje wewe?hii ni maajabu!!!

Radio Maria mwaka jana wasikilizaji wake waliichangia zaidi ya 700mill ajabu ktk waliokuwa wanachanga wapo wenye majina ya kiislam leo unasema haina wasikilizaji?
Kila mwaka wasikilizaji wa radio Maria huwa wanachangia zaidi ya bilioni 2.
Kwa sasa Wana Masafa ya FM mengi kuliko radio yoyote Tanzania.
 
Kijana changia pesa TV imaan isimame haya unayoandika tushayazoea kwa wavaa kobazi... hebu tunzeni vya kwenu kuliko kulalamika lalamika utumbo.... hiyo TV inajifia nyie mpo tu.... Toa pesa kwa TV yenu we kobazi
 
Wavaa kobazi hamnaga akili ndo maana mnapigania mambo ya kipumbavu na kuacha mambo ya maana. Changia TV imaan acha blah blah
 
Nashauri hii TV IMAN Azam aichukue ili maudhui yote ya dini ya kiislam yaliyopo ZBC2 ahamishir Tv ya mrengo wa kidini ya TV IMAN na ZBC 2 iwe ya michezo tuu.. Sasa watu wanalipia vingamuzi ili waone michezo kupitia hiyo channel wanaanza kuhubiriwa dini. Dini ni nzuri ikihubiriwa sehemu sahihi ili Kila anaueifuatilia afungue channel husika. Mimi ni mpenzi wa riadha siwezi kusahau siku Watanzania wanaokimbia kwenye Olympic na walishatuambia kuwa wataonyesha live ZBC 2 nikalipia kingamuzi ila nilichokuja kukiona ni kongamano la kimataifa la kiislam la maadili
 
We kam mkeo amekushinda nipe namba yake nimlee bure.
Mnashindwa kuwazuia wale manabii wanaowapiga mimba watoto wenu WA kike mnarukia TV ya wavaa kobazi? 😂
Ukafiri mzigo mkubwa sana
Kahtaan Salaam....
 
weka namba zao za simu kwa hapa,
 
Hivi Hapa Tanzania Ukitaja Top 10 Ya Matajiri Si Wa Islam , Sasa Kwanini Wasipige Donei Kukupiga Tafu Kituo Cha Iman Tv
Hela zao hazieleweki zimetokana na nini, Dhulma au uharamu mwingine
 
Umepofushwa na stories fake za mfumo kristo zilizoletwa na akina Moh Said na marehemu Ilunga.
 
We kam mkeo amekushinda nipe namba yake nimlee bure.
Mnashindwa kuwazuia wale manabii wanaowapiga mimba watoto wenu WA kike mnarukia TV ya wavaa kobazi? 😂
Ukafiri mzigo mkubwa sana
Hao manabii wasingelikuwepo basi Bible ingelikuwa kitabu cha uongo.
 
Mmeshindwa kuchangishana huko misikitini kwenu?
 
Wazo zuri sana hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…