Ndugu zangu UKIMWI is real

Dah ndio ushaukwaa mkuu?
hii kitu ni mbaya aise, sasaivi tuna zika na afya yako ikiwa nzuri kimuonekano wa nje lakini kiundani imeoza kabsaa dahh........
unanyandua huku ukikunjuka na mahope kibao kwamba hapo hakuna shida.....

ila ndugu yangu ukimwi upo jihadhari kabla ya hatari usizembee tukakukosa humu Jf.......
 
Siku hizi hizi vituo vya kupima ukimwi vinakuwa na maswali na mlolongo mwingi sana,,

Kwa kwl wanachangia kudhohofisha walengwa kujuwa fya zao..
 
sikuizi UKIMWI umejificha kwenye sukari na shinikizo la damu.......

za ndani zaidi kwenye siku za maombolezo ukielezwa historia ya mwenda zake, unaona kabisa hakuonekana na binti hakuwahi kuiasi dini lakini amekufa kwa ngoma........

UKIMWI NI HATARI BAKI NJIA KUU
 
Kwani wakishindwa kulipa madeni wanaambukizwa ukimwi Kwa lazima?
MAREJESHO YANAWATUMBUKIZA WAREMBO KUZAMA PENZINI KWA LAZIMA NA KUUCHOTA UKIMWI DAH......
 
Ngoma iko sana tu
 
Nimegundua JF members wengi wameungwanishwa kwenye Grid ya tanescy.
Polen sana.mnatia matumaini
😀Asante sana kwa niaba yangu na memberz wengine wote,
ILA BAKI NJIA KUU UKIMWI UPO NA UNAUA KWA FEDHEHA NA AIBU GENTLEMAN
 
Siku hizi hizi vituo vya kupima ukimwi vinakuwa na maswali na mlolongo mwingi sana,,

Kwa kwl wanachangia kudhohofisha walengwa kujuwa fya zao..
😀 Usiogope kuwa jasiri kama ulivyokua unanyanduka.....

KUPIMA NI BURE, USHAURI BURE , ARVs BURE....

JIHADHARI NA UKIMWI NI GONJWA HATARI LISILO NA TIBA BALI KINGA
 
Hakuna asiyejua ngoma inaua, na hakuna asiyejua ngomq ni kitu mbaya...

Umetoa takwimu hapo juu, na ndio sababu ya kukuuliza kama wewe ni mtumishi sekta ya afya...
NI KUBAYA SANA AISEE ACHA KABISA NI HATARI.......

ZINGATIA ZAIDI KUJIHADHARI NA KUJIKINGA NA GONJWA HILI HATARI LA UKIMWI
 
Kuna doctor mkubwa tuu huko mamlakani nilimsikia anasema ni hela yako tuu siku hizi kuna hadi dose ya kidonge kimoja tuu unameza kwa mwaka.
Ni kwenye mkuu hizi Dawa za kila week zinawaaribu watu akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…