Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Mi nilifanya za JHPIEGO mkoa flani, asee acha Ngoma ni disaster huko! Na lile baridi kule dah mungu aturehemu
Mi nilenda likizo village huko interior...asee vitoto vya shule vinatafunwa mbayaa!...soda tu unakula bila condom! ( Kwanza hata condom hawazijui)

Wazazi wa vijijini most of them bure tu hakuna malezi wala nini wanawaza ulevi tuu Basi[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka nilipo enda kupima kwenye kusubiri majibu nilienda msalani kama mara tatu kwa nusu saa nikawa najiuliza namna hii sijapewa majibu nikipewa wallah nakufa kwa presha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mimi sikuwa na presha hospitalini, coz nilianza kupima home then ndo nikaenda kwenye kipimo kikubwa[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah watoto hawako informed basi, maana kufanya ngono zembe ni hatari sana. Ila pia wazazi hawawajibiki vizuri
 
Haaaahaaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si ndo hapo..anafikiri kujimaliza rahisi[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kufa sio kizembe, yani uanze kujiua uache prado, vanguard, warembo wakali akati mwili ukiwa na nguvu wala hujaanza kuumwa na dawa zipo? Hahah labda uwe umechapa mbaya! Ila kama Jax lipo unasongesha na life kibishi uku unapiga mamedicals
 
Kufa sio kizembe, yani uanze kujiua uache prado, vanguard, warembo wakali akati mwili ukiwa na nguvu wala hujaanza kuumwa na dawa zipo? Hahah labda uwe umechapa mbaya! Ila kama Jax lipo unasongesha na life kibishi uku unapiga mamedicals
😁😁😁 lazima upambane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…