Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Kufa sio kizembe, yani uanze kujiua uache prado, vanguard, warembo wakali akati mwili ukiwa na nguvu wala hujaanza kuumwa na dawa zipo? Hahah labda uwe umechapa mbaya! Ila kama Jax lipo unasongesha na life kibishi uku unapiga mamedicals
Haaahaaa kabisa....labda uwe huna mpunga full kufulia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
cocacola!!!!!!!!
 
[emoji16][emoji16][emoji1787]tumetofautiana...mi nikijitoboa siumii hata, na ndio maana nilijitoboa masikio...

Kutobolewa ndo naogopa vibaya vibaya![emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
We mimi muoga hasa nikihisi nina maralia nanunua Dafu na ndimu nimemaliza kuliko kwenda kupimwa na kile kisindano japo damu nimepima kama mara 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…