Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Jikaze mkuu kuandika...utatufumbua wengi na utabarikiwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinacho nisikitisha yule mtoto anaenda kuwambukiza watoto wenzie huko shule ambao hata Kinga hawajui
Ebwanaaa eeeeh!...kama una mtoto wa kiume anasoma nae[emoji848][emoji848][emoji848]...

Sema nini hivyo vitoto vya kiume vina dudu ndogo halafu kukojoa fasta, so inaweza kuwaokoa!

Huyo demu anatumia ARV?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa usiposugua sindio unaambiwa mwanaume wa Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…