Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

na kwa kuongezea......karibu familia nyingi umeshatupunguzia ndugu,,,au hata majirari.....tujihadhari sana inaumiza sana ukiwa unauguza ....duh very badly.....tusisahau kuongea na watoto wetu jamani.....vijana wanapukitika balaa....kwenye vituo vya kutoa dawa....kakae siku moja uone....wa mbagala wanachukulia dawa bunju.... piga hesabu muda na gharama.....UKIMWI UPO...asante mleta udhi....
 
jaribun siku uende CTC za hospital yaan kuna wadada warembo hatari ila ndio waathirika, sasa baada ya kuona hayo akili inaweza kukukaa sawa..!!

Sent usingJamii Forums mobile app
mkuu inatisha sana, siku moja niko pale muhimbili dirisha la kuchukulia dawa. nikaona watu wakipewa dozi zao wanatoa mabox wanayatupa kwenye dustbin ,,, mkuu ni wazururi kiasi kwamba huwezi kudhani. mpaka leo bado sijasahau hilo.
 
Well said bro, tahadhari ni muhimu hata kwa sisi wazee 😀
 
mkuu watu wanakata kamba balaaaa watu wanakunywa aya madude nendeni hospital mkaone folen watu wanavochukua dawa huwez amin yaan ni watu wengi kinoma yaan ukiwaona utajifunza kitu na umalaya lazima uache
Na sio foleni ya watu wengi tu...ni foleni ambayo imejaa mabrazamen na masistaduu wakali ambao huwez kuamini ni wagonjwa jinsi walivyopendeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acheni kudanganyana ukimwi ni propaganda za wazungu wakina Robert Gallo.nani kashawahi kumuona H.I.V kwenye maisha yake aseme hapa yukoje .hakuna kitu kinachoitwa HIV.ukimwi ni imani kama imani nyingine tu but its not real
 
Na siku hizi ukipimwa tu na kuonekana una virus wanatembea na damu basi unaanzishiwa dozi right away.

Yale maharage kuyameza kila siku jamani, hapo ndio shida inapoanzia, kula maharage kiiiila siku....

Tuanzishe chama cha watumiaji, sema tu unyanyapaa!!!
 


KUPATA UKIMWI NI HADI ULOGWE!
 
mm alikuja sehemu ya tukio na vipimo vyake , tukajipima wote kabla ya mechi.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…