Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Yaani afadhali hata sasa hivi wagonjwa hawaugui na kukonda kama zamani...kwa mtu aliyewahi ishi au kumuona mgonjwa wa ukimwi aliyepitia dalili zote hakika atakuwa na adabu kama mbwa....mateso waliyokuwa wanapata huwezi elezea.
Mkuu mbwa ana adabu? Em unganisha adabu ya mbwa na hili swala la ukimwi
 
Kwenye ndoa ni majanga,kiutaratibu tu wenzi wakishakuwa kwenye ndoa swala la kinga halipo.
Sasa hapa unakuta hawa wenzi katika shughuli zao za kila siku wakakutana na watu wengine wakasema tuonjeshane kidogo sasa hii kuonjeshana inaweza kuwa kavu si swala la chap chap mtu anabeba tatizo anapeleka kwa mwenzie kimya kimya.
Mziki huwa unakuja kubumbuluka wakianza kupata vihoma vya mara kwa mara wanaenda kupima wanaanza kushangaana vimetoka wapi.

[emoji838]
Halafu huwaga wakigundua wameambukizana mdudu na ndoa inaishiaga hapo hapo[emoji134][emoji134]....

Yaaan we ukishaona mifarakano ndoani ujue kimenuka!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kwasasa ukiendekeza ngono lazima utaukwaa maana watu walioathirika especially w/me wanaambukiza sana mademu hovyo na hawa dada zetu wakishaona mtu ana hela hawajali status yake ya afya wao twende tu ili mradi apate pesa akadamshi awaringie mashostito wenzake.
 
Nina condition moja wanaita INNATE RESISTANCE TO HIV(IRH) hii inatokana na mimi kukosa receptor protein ijulikanayo kama CCR5-delta 32 kwenye seli hai nyeupe ambayo ndo huwa inatumika kama kihisishi cha magonjwa na pia ndiyo njia ambayo HIV anatumia kuingia ndani ya seli hai nyeupe na kuzidhuru mimi kutokuwa nayo ina maana hakuna njia ya kirusi kuingia ndani ya seli hai nyeupe hivyo napata virusi kwa muda kisha vinaondoka pindi seli zikimaliza mzunguko wake .Kiufupi HIV HANIDHURU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_20190405-225950~2.jpeg
    Screenshot_20190405-225950~2.jpeg
    32.8 KB · Views: 20
  • Screenshot_20190405-225950~2.jpeg
    Screenshot_20190405-225950~2.jpeg
    32.8 KB · Views: 21
  • Screenshot_20190405-225950~2.jpeg
    Screenshot_20190405-225950~2.jpeg
    32.8 KB · Views: 21
Back
Top Bottom