Watu wanatupeleka chaka asee[emoji134]Hkn kipimo cha hivyo usijidanganye. Kipimo cha kuonyesha maambukizi ya wakati wowote ni DNA PCR ambacho kipo Hosp chache sana[emoji192] [emoji192]
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu...Anamdanganya mwenzake, damu ht ichukuliwe mguuni, kwenye uume, kwenye anus, kichwani result ni ze same. Mimi nipo kwenye afya najua nnachoongea
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mpaka muda gani?Yeah japo sijui ni muda gani,lakini sidhani kama mtu aliyeambukizwa jana anaweza ambukiza keshokutwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebwana eeeh[emoji134][emoji134]...kwahiyo bora condom mkuu?Asante, najaribu kuelezea haya kwakua yupo dada yangu anaugonjwa huu na tunamtegemea sana kwani hakuna anachotuficha kuhusu hali yake. Mwanzoni tulikua na hofu ya maisha yake kuwa mafupi lakini sasaivi hatuna wasi wasi tena
Juzi tu amepima kipimo cha Ukimwi kile cha Unigold ameonekana mzima, na hiyo sio mara ya kwanza na amaeleza kuwa inatokana na kuzingatia dawa za ARVs pamoja na zile za kuzuia maambukizi. Picha nitatuma hapa ili watu wajue kumpima mtu bado haitoshi kumwaminiView attachment 1063693View attachment 1063695
Mkorintho wa 6
[emoji16][emoji16]...ujipime halafu ujiambukize??? haahaa haya buanaNi kila pharmacy vinapatikana,au ni maduka maalum? maana umesema jambo la msingi
na utaalam wa kujipima ukoje,isije ikawa ndo unajiambukiza badala ya kujipima.
Akafie mbele[emoji1787][emoji1787][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] lawama hizo,hapo utaondoka na misonyo ya kukutosha.
Niliwaelezea kwa nani???huyo (ndugu) ni mwingine tena tofauti na anko na shoga ako uliowaelezea hapo awali.?[emoji19]
We unatumia salama ndomu??babuu shemeji yako alikuletea condom!!!??
Anayway, huwa sizitrust hizo thin condom sijui kwa nini. Nimecheki hizo bareskin Amazon zinauzwa dollar 7 kwa 3 in 1.
Ubarikiwe kwa kutukumbusha maana tunajifariji kuwa ukimwi sio kansatujihadhali, ukimwi bado upo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]...dunia tamu asikwambie mtu..Napenda unavyofuatilia huu uzi na maswali mubashara. Inaonyesha bado dunia unaipenda..
Sent using Jamii Forums mobile app
hapo jukwaani,kwny post nmb 76 ns 131
Kwa hiyo kwichi ndo basi tena auMungu akubariki mleta mada
Lkn kuna watu si wazinzi na wanao!wazinzi wataupita huu uzi kama ukoma
Issue ya UKIMWI ni very complexUkimwi haupimwi kwa siku moja brother, Je unafahamu kuwa CD4 zikipanda mwenye virus anaweza kupima na akaonekana mzima? Waliopata ukimwi wote hawakupenda na pengine walijitunza sana kuliko wewe.
Ukimwi hautabiriki, na sikuizi kuna njia nyingi za kupunguza kasi ya virus kishambulia seli lakini hiyo haimaanishi hauwezi kuenea kama ngono zitafanyika kizembe namna hiyo.
Kuna dada tunaheshimiana sana na huwa ananiomba ushauri mara nyingi akipata tatizo. Yeye anaishi na virus vya ukimwi kwa miaka mingi sana lakini ukimuona huwezi kumjua na ameumbika haswaa.
Kuna tembe fulani zinaitwa PEP na PREP, hizi zinatumika kuzuia maambukizi pia mama wajawazito wenye maambukizi hutumia dawa hizi kumkinga mtoto dhidi ya maambukizi.
Aliniambia yeye huwa akizitumia dawa hizo Japo ni mwathirika lakini ukimpima akiwa ameshatumia dawa hizo huwezi kupata reaction kwamba yeye ni HIV +. Kuna jamaa ameishi naye kama mchumba wake kwa muda sana bila kujua mwanamke ni mgonjwa maana walienda kupima akaonekana ni mzima.
Kwaiyo cheza salama lakini ikitokea bahati mbaya umepata maambukizi sio mwisho wa maisha, sikuizi wenye ukimwi wanaishi maisha marefu pia ukipima ukawa salama usijiamini sana kwamaana leo wewe ni mzima kesho utakua mgonjwa, kuugua sio kufa.
Nina dada yangu wa tumbo moja alipata maambukizi hayo mwaka 1993 kipindi ambacho Ukimwi ulikua ni tishio sana, amezaa watoto wanne (4) na wote wako salama. Hajawai kuwanyonyesha lakini wote wamekua.
Leo hii tunaongea ametimiza miaka 26 akiwa na HIV lakini ukikutana naye pamoja na kuwa ni mgonjwa huwezi kuamini. Ana shape nzuri na mwili wake umenawiri kama binti alieanza kubalehe, matiti yake bado yamesimama pamoja na umri wake.
Kama Mzima mshukuru Mungu na uache zinaa na kutamani wanawake wazuri, shetani hupenda kukaa sehemu nzuri.
Mkorintho wa 6
Dollar 7-10 za kibongo! Kwa 3pcs
Pia unaweza ukapima kinga ikiwa imeshuka ukaonekana unao! Wewe si unajijua ni mzima, nakupa cheat, nenda choma sindano ya tetanus within 24 hours kapime uone utapata majibu gani!
[emoji848]hii ndo naisikia leoNasikia pia kama unao kabla ya kupima ukinywa Pepsi vipimo vinatoka Safi huna.