Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Asante, najaribu kuelezea haya kwakua yupo dada yangu anaugonjwa huu na tunamtegemea sana kwani hakuna anachotuficha kuhusu hali yake. Mwanzoni tulikua na hofu ya maisha yake kuwa mafupi lakini sasaivi hatuna wasi wasi tena

Juzi tu amepima kipimo cha Ukimwi kile cha Unigold ameonekana mzima, na hiyo sio mara ya kwanza na amaeleza kuwa inatokana na kuzingatia dawa za ARVs pamoja na zile za kuzuia maambukizi. Picha nitatuma hapa ili watu wajue kumpima mtu bado haitoshi kumwaminiView attachment 1063693View attachment 1063695

Mkorintho wa 6
Ebwana eeeh[emoji134][emoji134]...kwahiyo bora condom mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimwi haupimwi kwa siku moja brother, Je unafahamu kuwa CD4 zikipanda mwenye virus anaweza kupima na akaonekana mzima? Waliopata ukimwi wote hawakupenda na pengine walijitunza sana kuliko wewe.

Ukimwi hautabiriki, na sikuizi kuna njia nyingi za kupunguza kasi ya virus kishambulia seli lakini hiyo haimaanishi hauwezi kuenea kama ngono zitafanyika kizembe namna hiyo.

Kuna dada tunaheshimiana sana na huwa ananiomba ushauri mara nyingi akipata tatizo. Yeye anaishi na virus vya ukimwi kwa miaka mingi sana lakini ukimuona huwezi kumjua na ameumbika haswaa.

Kuna tembe fulani zinaitwa PEP na PREP, hizi zinatumika kuzuia maambukizi pia mama wajawazito wenye maambukizi hutumia dawa hizi kumkinga mtoto dhidi ya maambukizi.

Aliniambia yeye huwa akizitumia dawa hizo Japo ni mwathirika lakini ukimpima akiwa ameshatumia dawa hizo huwezi kupata reaction kwamba yeye ni HIV +. Kuna jamaa ameishi naye kama mchumba wake kwa muda sana bila kujua mwanamke ni mgonjwa maana walienda kupima akaonekana ni mzima.

Kwaiyo cheza salama lakini ikitokea bahati mbaya umepata maambukizi sio mwisho wa maisha, sikuizi wenye ukimwi wanaishi maisha marefu pia ukipima ukawa salama usijiamini sana kwamaana leo wewe ni mzima kesho utakua mgonjwa, kuugua sio kufa.

Nina dada yangu wa tumbo moja alipata maambukizi hayo mwaka 1993 kipindi ambacho Ukimwi ulikua ni tishio sana, amezaa watoto wanne (4) na wote wako salama. Hajawai kuwanyonyesha lakini wote wamekua.

Leo hii tunaongea ametimiza miaka 26 akiwa na HIV lakini ukikutana naye pamoja na kuwa ni mgonjwa huwezi kuamini. Ana shape nzuri na mwili wake umenawiri kama binti alieanza kubalehe, matiti yake bado yamesimama pamoja na umri wake.

Kama Mzima mshukuru Mungu na uache zinaa na kutamani wanawake wazuri, shetani hupenda kukaa sehemu nzuri.

Mkorintho wa 6
Issue ya UKIMWI ni very complex

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom