Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,194
Tetesi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tetesi mkuu
Nipe masaa mawili chief...Pia unaweza ukapima kinga ikiwa imeshuka ukaonekana unao! Wewe si unajijua ni mzima, nakupa cheat, nenda choma sindano ya tetanus within 24 hours kapime uone utapata majibu gani!
Usisahau kuleta mrejesho!
Shangaaa[emoji848]...sio kila mgonjwa ni mzinzi, ndo maana ukimcheka mtu mwenye huu ugonjwa...Zama zako zinahesabika!Lkn kuna watu si wazinzi na wanao!
Mkuu ulipima wapi ukaambiwa hauna CCR5 receptor.... Km ni kweli mkuu hongeraNina condition moja wanaita INNATE RESISTANCE TO HIV(IRH) hii inatokana na mimi kukosa receptor protein ijulikanayo kama CCR5-delta 32 kwenye seli hai nyeupe ambayo ndo huwa inatumika kama kihisishi cha magonjwa na pia ndiyo njia ambayo HIV anatumia kuingia ndani ya seli hai nyeupe na kuzidhuru mimi kutokuwa nayo ina maana hakuna njia ya kirusi kuingia ndani ya seli hai nyeupe hivyo napata virusi kwa muda kisha vinaondoka pindi seli zikimaliza mzunguko wake .Kiufupi HIV HANIDHURU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha hope siku moja nitauona huo uvivu wako wa kuongea[emoji16][emoji16]kwanini?
Ukiniona live mi mpole sana, halafu mvivu kuongea balaa[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
KweliShangaaa[emoji848]...sio kila mgonjwa ni mzinzi, ndo maana ukimcheka mtu mwenye huu ugonjwa...Zama zako zinahesabika!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa, umetisha mkuu [emoji16] [emoji23]Yaaan aliyeweka ngoma kwenye papuchi/Muogo wa jang'ombe, sijui aliwaza nini?
Kwann hakuweka kwenye wali tu? [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa ana bahati sana, ngwengwe haimpatiMkuu ulipima wapi ukaambiwa hauna CCR5 receptor.... Km ni kweli mkuu hongera
Kumbe bado ukifanya check up 1 month bado uko window period?[emoji134]
Tumuombe Mungu mkuu[emoji120]Ha ha ha ha hope siku moja nitauona huo uvivu wako wa kuongea
Mkuu fafanua hiyo CCR5 receptor ni mtu au ni nin ili nisipate kaz ya kwenda ku-google...ntajiongeza nisipoelewa vizur. Kwahy jitahid uandike kila kituMkuu ulipima wapi ukaambiwa hauna CCR5 receptor.... Km ni kweli mkuu hongera
Mimi huwa napenda kutoa shukrani za uso kwa uso. Za humu jf huwa hazifiki ipasavyo.
NdioKumbe bado ukifanya check up 1 month bado uko window period?[emoji134]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]...dunia tamu asikwambie mtu..
Robertson ntamuachia nani ile wine asee[emoji485][emoji485]
Sent using Jamii Forums mobile app