Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Nina condition moja wanaita INNATE RESISTANCE TO HIV(IRH) hii inatokana na mimi kukosa receptor protein ijulikanayo kama CCR5-delta 32 kwenye seli hai nyeupe ambayo ndo huwa inatumika kama kihisishi cha magonjwa na pia ndiyo njia ambayo HIV anatumia kuingia ndani ya seli hai nyeupe na kuzidhuru mimi kutokuwa nayo ina maana hakuna njia ya kirusi kuingia ndani ya seli hai nyeupe hivyo napata virusi kwa muda kisha vinaondoka pindi seli zikimaliza mzunguko wake .Kiufupi HIV HANIDHURU.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ulipima wapi ukaambiwa hauna CCR5 receptor.... Km ni kweli mkuu hongera
 
Hivi maambukizi ya jumla kwa Tz ndani ya miaka minne iliyopita yamepanda au yameshuka?
 
Back
Top Bottom